High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
Ni kweli kabisa hii unatakiwa kuendesha kwa umakini na kifo kipo karibu unaweza shangaa kisahani kinaishaUnyama sana hii gari hasa upata latest au ile yenye engine URS206 moto wake ni hatari..
Hizi majesta naziona sana dodoma kuliko dar
Hiyo 180 chap chap tayari imeisha.. ni gari nzuri sana luxury ya kutosha hapoNi kweli kabisa hii unatakiwa kuendesha kwa umakini na kifo kipo karibu unaweza shangaa kisahani kinaisha
Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
HahahhahahahWabongo tunaongoza kwa kununua magari mazee yan gar ya 2004 leo unamuuzia mtu million 21
Ttzo la Tanzania sio TRA tuu ndo wanapandisha kodi ata waagizaji wa wauzaji wa magari Tz ni ttzo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli ni petrol na sio diesel [emoji618][emoji618][emoji618]Waqmbie ni petrol kabisa
V8 Sedan [emoji16]
Yani hiyo gari toka imetengenezwa hadi Leo ukifanya depreciation ilitakiwa iuzwe 2-3 M tu.Wabongo tunaongoza kwa kununua magari mazee yan gar ya 2004 leo unamuuzia mtu million 21
Ttzo la Tanzania sio TRA tuu ndo wanapandisha kodi ata waagizaji wa wauzaji wa magari Tz ni ttzo
kaangalie ya 2018 plus ushuru, alafu ulinganishe na level ya kiuchumi ya watanzania wengi.. pia chungua TRA ushuuru wa 2018 utapata majibu ya kwanini tunapenda vintage sijuiWabongo tunaongoza kwa kununua magari mazee yan gar ya 2004 leo unamuuzia mtu million 21
Ttzo la Tanzania sio TRA tuu ndo wanapandisha kodi ata waagizaji wa wauzaji wa magari Tz ni ttzo
Gari chakavu kabisa hii. Weka gari kuanzia ya 2020. Wengine hatutumii magari chakavuKama una ndoto ya kumiliki sedani ya injini kubwa barabarani basi nmekusogezea hapa mashine hii makadilio ya kuichukua kumbuka huyu ni mnyama zaidi ya mnyama maajabu yake yanayosimuliwa kwa crown athret hapa ni Cha mtoto kabisa makadilio inakuja 20m ongezea na balance ya 1.2M.
View attachment 2194207View attachment 2194208View attachment 2194209View attachment 2194210View attachment 2194211
Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
Exactly!!
Unaweka full take mzee ndio dawa yakeHizi Majesta zina 8 Cylinders, hivyo wabongo waelewe hili, maana kama hizi Athlete baadhi ya watu anaipaki mpaka trh za mishahara, basi hili ndio litawekwa makimbusho kabisa[emoji16]