Car4Sale Toyota Crown Majesta

Car4Sale Toyota Crown Majesta

High Vampire

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
2,915
Reaction score
2,134
Kama una ndoto ya kumiliki sedani ya injini kubwa barabarani basi nmekusogezea hapa mashine hii makadilio ya kuichukua kumbuka huyu ni mnyama zaidi ya mnyama maajabu yake yanayosimuliwa kwa crown athret hapa ni Cha mtoto kabisa makadilio inakuja 20m ongezea na balance ya 1.2M.

BK103705_2d1195.jpg
BK103705_fdcf9b.jpg
BK103705_2d1195.jpg
Screenshot_20220420-152552.jpg
Screenshot_20220420-152521~2.jpg

Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
 
Unyama sana hii gari hasa upata latest au ile yenye engine URS206 moto wake ni hatari..

Hizi majesta naziona sana dodoma kuliko dar
 
Wabongo tunaongoza kwa kununua magari mazee yan gar ya 2004 leo unamuuzia mtu million 21
Ttzo la Tanzania sio TRA tuu ndo wanapandisha kodi ata waagizaji wa wauzaji wa magari Tz ni ttzo
 
Mkuu vipi ulaji wa mafuta ukilinganisha na Ist?😀
 
Majaliwa si amesema magari yaingizwe Nchini yaliyotengenezwa nyuma ya miaka 10 kutoka sasa au nilomsikia vibaya?
 
Wabongo tunaongoza kwa kununua magari mazee yan gar ya 2004 leo unamuuzia mtu million 21
Ttzo la Tanzania sio TRA tuu ndo wanapandisha kodi ata waagizaji wa wauzaji wa magari Tz ni ttzo
kaangalie ya 2018 plus ushuru, alafu ulinganishe na level ya kiuchumi ya watanzania wengi.. pia chungua TRA ushuuru wa 2018 utapata majibu ya kwanini tunapenda vintage sijui
 
Hizi Majesta zina 8 Cylinders, hivyo wabongo waelewe hili, maana kama hizi Athlete baadhi ya watu anaipaki mpaka trh za mishahara, basi hili ndio litawekwa makimbusho kabisa[emoji16]
 
Kama una ndoto ya kumiliki sedani ya injini kubwa barabarani basi nmekusogezea hapa mashine hii makadilio ya kuichukua kumbuka huyu ni mnyama zaidi ya mnyama maajabu yake yanayosimuliwa kwa crown athret hapa ni Cha mtoto kabisa makadilio inakuja 20m ongezea na balance ya 1.2M.

View attachment 2194207View attachment 2194208View attachment 2194209View attachment 2194210View attachment 2194211

Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
Gari chakavu kabisa hii. Weka gari kuanzia ya 2020. Wengine hatutumii magari chakavu
 
Back
Top Bottom