TOYOTA DUET: Offer tukuagizie kwa TSH6.8M

TOYOTA DUET: Offer tukuagizie kwa TSH6.8M

CHEBEPE

Senior Member
Joined
Sep 3, 2018
Posts
103
Reaction score
62
IPILIMO BUSINESS SOLUTIONS... Tupo Kimara mwisho... Njoo au popote ulipo Tz, Fanya Tukuagizie KIGARI HIKI
TOYOTA DUET : 2003/KM 69,000/GRADE 4/ AC/PW/990CC/RHD PETROL/AT/2WD/5door/5seats/PS, AC, AB, ABS, PW...MAFUTA KIDUCHUUU.. MIZUNGUKO KIBAO.

WASILIANA NASI LEO, WAHI, MALIPO AWAMU MBILI, MDA SIKU 45. OFISI IMESAJILIWA, NJOO TUFUNGE MKATABA.. GARI IKUFIKIE MKONONI IN 45 DAYS. WAHI ILI KTKT YA JANUARY, GARI IWE MKONONI MWAKO.
WHASAP 0754734009
*************************
FB_IMG_1544727444021.jpeg
FB_IMG_1544727464500.jpeg
FB_IMG_1544727454055.jpeg
FB_IMG_1544727472001.jpeg
FB_IMG_1544727509300.jpeg
FB_IMG_1544727513541.jpeg
IMG_20181119_085656.jpeg
 
Kuna faida gani nikiagiza kupitia nyinyi badala ya kuagiza mwenyewe?
 
Faida kubwa ni wewe kurelax na kuendelea na mambo yako wakati wapambanaji wanakuhakikishia gari lako linafika mlangoni kwa bei fixed.
 
Hii ni Ofisi... Pia Sisi ni Mteja Agent wa kampuni zinazouza MAGARI.. Mfano SBT Japan... Kupitia kwetu, wewe huhangaiki na mchakato, japo unashirikishwa, Sisi tunawajibika kwako (ndio maana tuna mkataba na mteja), tunakupa ushauri anuai, wewe unapata mda wa kufanya mambo yako, tunakupa uhakika zaidi wa kuipata Gari yako kwakuwa Sisi tuko Karibu na wauzaji na wewe utakuwa Karibu na Sisi..
Kimsingi, kututumia Sisi au waagizaji wengine hapa nchini kuna kupa stress free procedures. Lakini pia ifahamike wapo wengi wanatamani kuagiza MAGARI sababu ya unafuu wa bei na uthabiti wa Gari kutoka Japan na kwingineko...Lakini sio kila mtu anao uwezo, maarifa na uthubutu wa kuagiza na kusubiri Gari imfikie baada ya week kadhaa....
Kuna watu wanaagiza wenyewe mtandaoni, wanafanya procedures kwa kusaidiwa saidiwa na watu.. Lakini zikitokea changamoto wanatutafuta tena, kutuuleza stress walizonazo kwakuwa Gari haijafika, au sijui bandarini imekuweje nk nk.

Karibuni, mtuunge mkono ktk Hili, sio kwasababu wewe huwezi agiza ila tu kupeana kazi.. Na maisha yasonge mbele.. Faida ni nyingi Sana, hasa kwa Mhitaji wa kweli.
Kuna faida gani nikiagiza kupitia nyinyi badala ya kuagiza mwenyewe?
 
Back
Top Bottom