Hii ni Ofisi... Pia Sisi ni Mteja Agent wa kampuni zinazouza MAGARI.. Mfano SBT Japan... Kupitia kwetu, wewe huhangaiki na mchakato, japo unashirikishwa, Sisi tunawajibika kwako (ndio maana tuna mkataba na mteja), tunakupa ushauri anuai, wewe unapata mda wa kufanya mambo yako, tunakupa uhakika zaidi wa kuipata Gari yako kwakuwa Sisi tuko Karibu na wauzaji na wewe utakuwa Karibu na Sisi..
Kimsingi, kututumia Sisi au waagizaji wengine hapa nchini kuna kupa stress free procedures. Lakini pia ifahamike wapo wengi wanatamani kuagiza MAGARI sababu ya unafuu wa bei na uthabiti wa Gari kutoka Japan na kwingineko...Lakini sio kila mtu anao uwezo, maarifa na uthubutu wa kuagiza na kusubiri Gari imfikie baada ya week kadhaa....
Kuna watu wanaagiza wenyewe mtandaoni, wanafanya procedures kwa kusaidiwa saidiwa na watu.. Lakini zikitokea changamoto wanatutafuta tena, kutuuleza stress walizonazo kwakuwa Gari haijafika, au sijui bandarini imekuweje nk nk.
Karibuni, mtuunge mkono ktk Hili, sio kwasababu wewe huwezi agiza ila tu kupeana kazi.. Na maisha yasonge mbele.. Faida ni nyingi Sana, hasa kwa Mhitaji wa kweli.
Kuna faida gani nikiagiza kupitia nyinyi badala ya kuagiza mwenyewe?