Toyota fielder ya 2003 inauzwa kwa Tshs 7.5m

Toyota fielder ya 2003 inauzwa kwa Tshs 7.5m

semango

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2010
Posts
532
Reaction score
45
Wakuu nimepata kagari kengine naona haka nikauze. Ni toyota fielder ya 2003. Engine capacity ni CC 1490. full time 4WD. kako vizuri sana. nakauza kwa vile bado nimepanga kwa hiyo kua navyo viwili naona sio proper sana. ndani kasafi. kana mziki wa kutosha sana. kila kitu kina function as required. engine haijaguswa wala hakajawahi kupata ajali. if interested tuwasiliane kwa 0712 197 239
 

Attachments

  • IMG-20141110-WA0006.jpg
    IMG-20141110-WA0006.jpg
    64.5 KB · Views: 224
  • IMG-20141110-WA0008.jpg
    IMG-20141110-WA0008.jpg
    96.2 KB · Views: 209
  • IMG-20141113-WA0005.jpg
    IMG-20141113-WA0005.jpg
    138.6 KB · Views: 203
  • IMG-20141113-WA0001.jpg
    IMG-20141113-WA0001.jpg
    176.2 KB · Views: 202
  • IMG-20141113-WA0002.jpg
    IMG-20141113-WA0002.jpg
    206 KB · Views: 194
Wakuu nimepata kagari kengine naona haka nikauze. Ni toyota fielder ya 2003. Engine capacity ni CC 1490. full time 4WD. kako vizuri sana. nakauza kwa vile bado nimepanga kwa hiyo kua navyo viwili naona sio proper sana. ndani kasafi. kana mziki wa kutosha sana. kila kitu kina function as required. engine haijaguswa wala hakajawahi kupata ajali. if interested tuwasiliane kwa 0712 197 239

Hako ni kagari kazuri sana,ongeza nyama kidogo basi kama odo na tufoto twa mbele na nyuma
 
Back
Top Bottom