Toyota Fortuner 2007 mpaka 2010

Toyota Fortuner 2007 mpaka 2010

Immortal Ford focus RS 2016 mpya zipo rand 700,000 sawa na tsh 112,000,000 million kwa change ya tsh 160 kea rand moja.used labda scrape ununue iliyogongwa ulekebishe ambayo itakua rand 250,000 mpaka 300,000 marekebisho utatumia rand 50,000 mpaka 80,000 inategemeana na ilivyoumia ukiitaka iliyo yard used itakua Rand 450,000 mpaka 500,000 inafanya vizuri sokoni bei itapungua mpaka mwaka ugeuke ni kama golf 7 au mercedes benz AMG 45.,,
Ahsante mkuu hiki kitu nakikubali sana
Nashukuru kwa ushauri wako
 
Immortal Ford focus RS 2016 mpya zipo rand 700,000 sawa na tsh 112,000,000 million kwa change ya tsh 160 kea rand moja.used labda scrape ununue iliyogongwa ulekebishe ambayo itakua rand 250,000 mpaka 300,000 marekebisho utatumia rand 50,000 mpaka 80,000 inategemeana na ilivyoumia ukiitaka iliyo yard used itakua Rand 450,000 mpaka 500,000 inafanya vizuri sokoni bei itapungua mpaka mwaka ugeuke ni kama golf 7 au mercedes benz AMG 45.,,
Mkuu isanga Family PM ur number tuongee biashara.
 
mkuu Isanga mercedes s350ya kuanzia 2007 inaeza patikana kwa sh ngapi huko pamoja na kodi
 
Mkuu mwamba mercedes wametoa gari za kumwaga sana toleo la mwaka jana na mwaka huu mengi na biashara wamefanya nachokushauri hiyo unayoitaka ina cc 3500 wakati benz sasa hivi wana 1800cc na 2000 hizo unazoziona nyuma zimeandikwa 180 na 200 ungeniambia wewe una kiasi gani kila kitu ili nitaona model tofauti nzuri nakutumia picha na magari huku wakipata faida matoleo ya karibuni haya ya 2010 mpaka 2013 au 2008 mpaka 2010 bei zinashuka hasa kwa Mercedes,Bmw VW na golf used zake sio bei kubwa tofauti na magari mengine..
 
ebana eeh!! hii ndo chuma ya 112 mil sio??,,ina sifa gani ya ziada?
Mwamba gari mpya hiyo na ya vijana SA gari inayokuwa na balance na speed ya kutosha vijana na police SA wanazitumia sana kukamatia majambazi high way kwa kuwa ina speed kama golf 7 ina bei sana na mercedes wametoa matoleo karibu kumi mwaka huu tuu na hizo pia mwendo na balance ni hatari bila kusahahu confortability yake ndani mkuu ukiendesha gari za 2013 kuendelea zipo tofauti kabisa na haya mengine tuliyozoea kuyatumia kwetu ya muda mrefu japani..
 
Ukiongeza na muffler kubwa hapo aisee kitaa kizima wanajua mzeiya ndani ya nyumba...tatizo helaaaaa...
 
Lyamber SA kwa Rim ndio nyumbani kwake wana rim nzuri sana unakuta muda mwingine gari ya kawaida tuu ila rim zilizowekwa ni nzuri sana.,
 
Nilikueleza ujitahidi kuweka wazi Biashara yako na wanunuzi baadhi washuhudie utapiga pesa hadi ushangae sana.
 
Mkuu nilikuelewa sana sana ndio maana huko nafatilia kibali cha bond cha TRA magari moja moja ndio nilikua nauza miaka ya nyuma sasa hivi napata stock ya gari nyingi hapa kwa sababu nina machaka mengi nayafahamu ya magari Zambia wananunua ukipeleka ni siku 3 tuu unalipwa sasa Tanzania inatakiwa kutangaza soko harafu kumwaga bidhaa tuu.. nikiipata hiyo ntaleta gari nyingi sana maana ndio shughuri yangu hiyo Mkuu na hakuna usumbufu ni mimi tuu nikirudi nawapeka TRA eneo ambalo gari zitakua zinafika kuna vigezo wamenipa ambavyo ni rahisi tuu..
 
Isanga family naomba kama ukifanikisha hayo mambo ya TRA na kuanza kuleta mzigo utufahamishe.
 
Back
Top Bottom