Hilux its the best...haya matoy ya mmarekani hayawezi kumchallenge hilux kwa mazingira yetu ya kiafrika. Ukiachana na landcruise mkonge, toyota hilux ndio a true work horse ya afrika. Inanusa tu mafuta na iko reliable sana. Nnampango wa kuandaa heavy duty offroading challenge. tuyapeleke haya magari katika extreme off road conditions. kwenye tope la mfinyanzi.....barabara za mawe....mchanga wa beach, kisa tuzipe score. pia tuangalie baada ya kuipigisha mzigo wa maana, gharama ya service yake ikoje. gari mshindi ni lile litakaloperfom na kureplace pia vifaa vyake kwa gharama nafuu na kurudi porini...sio lile litakalo struggle porini, likifanikiwa kutoka litahitaji mil 5 za service. Hilo halifai kwa mazingira ya afrika.