Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
range mwisho wa matatizoWA RANGE ROVER HAPA HAPATUHUSU.
ila mkuu fortuner ina diff lock so designed for offroad sema comparison na ford ranger hapanafortuner ni SUV ila siyo gari ya offroad kama unataka kununu bush..spring na hata shock ups mpya na ikiwezekana kuvunja ball joint peleka fortuner yako offroad.... ila kwa upande wa ford ranger hyo gari kwa offroad ndo yenyewe
Afanye comparison ya fortuner Vs ford endeavor vs Mitsubishi pajero sportila mkuu fortuner na diff lock so designed for offroad sema comparison na ford ranger hapana
Now you are talkinghizo ni class mbili za magari zilizoundwa kwa matumizi tofauti....Linganisha kati ya haya yafuatayo.
Ford Ranfer 3.2 wildtrac
Volkswagon Amarock
Common rail,turbo diesel toyota hilux
Mitsubish Triton
Nissan Navara.
Kwa durability na yenye uwezo wa kuhimili barabara ngumu za kiafrika hakuna anaemchallenge Toyota hilux hapo. Ukitaka power na stability nenda for Nissan Navara, japo linakufa sana ball joints za mbele. nyingi utazikuta zimelalia tairi za mbele. ukitaka lenye uwezo wa kuvuta trailler bila kuhustle nenda for ford ranger. Ukitaka European style amarock....Mitsubish amezingua kwenye engine capacity.....yeye amejenga body kubwa kisha akaweka engine ya 2.4 cc.
ford ranger haliwezi mishe za off roading. kwa mwonekano wa nje ni gari ya kibabe ila ukiliingiza porini unaweza ukaliacha uko uko.
Umesema kweli mkuu, ila kwangu Amarok bado Ndio first choice then Ford Ranger itafuatia!hizo ni class mbili za magari zilizoundwa kwa matumizi tofauti....Linganisha kati ya haya yafuatayo.
Ford Ranfer 3.2 wildtrac
Volkswagon Amarock
Common rail,turbo diesel toyota hilux
Mitsubish Triton
Nissan Navara.
Kwa durability na yenye uwezo wa kuhimili barabara ngumu za kiafrika hakuna anaemchallenge Toyota hilux hapo. Ukitaka power na stability nenda for Nissan Navara, japo linakufa sana ball joints za mbele. nyingi utazikuta zimelalia tairi za mbele. ukitaka lenye uwezo wa kuvuta trailler bila kuhustle nenda for ford ranger. Ukitaka European style amarock....Mitsubish amezingua kwenye engine capacity.....yeye amejenga body kubwa kisha akaweka engine ya 2.4 cc.
ford ranger haliwezi mishe za off roading. kwa mwonekano wa nje ni gari ya kibabe ila ukiliingiza porini unaweza ukaliacha uko uko.
Hii gari nzuri jamani
mitsubishi mashine baba, ila best offroad vechicle ile yenye solid front axle ile baba uwakika.Afanye comparison ya fortuner Vs ford endeavor vs Mitsubishi pajero sport
una weza mkuu, tena passo una advantage ile ina vuta kwambele yani front wheel drive so mbele kuzito kwa sababu ndo engine hiko kule so transaction inakuwepo kubwa kwenye matairi ya mbele so mwendo mdudundo ila ukifika kwenye tope au mchanga issue tairi yako ya mbele unakuta moja ndo inavuta gari na hi ki slip tuh tairi ya pembeni haiwezi kukusaidia na tairi za nyuma pia haziwezi kusaidia since passo ni two wheel drive so unakua ume park kwenye tope au mchanga mpaka upate msaada.Sisi wenye passo hatuwezi changia?
Passo na yenyewe haikulazi porini bwana
Maana hata mimi huwa natembeza passo yangu hadi 80km/hr off-road nikiwa naenda home.
Mzee baba sio poa, ni hatariuchawi wa mjapani kwenye hilux ulianzia hapa.....
mzungu hakuamini kilichotokea.....akajaribu tena hapa
hawakukata tamaa....wakajaribu tena
mwisho wakaamua kumweka mjapan kwenye jumba la makumbusho kwaajili ya vizazi na vizazi.
you only need a spanner na plaiz kwenye gari, na mafuta inakufikisha kigoma.
Wao wanasema It wasnt built for speed, but for performance. No matter liko kwenye hali gani, hiki chuma kikiwa na 2l au 3L engine haitakulaza porini.
AtareeHilux its the best...haya matoy ya mmarekani hayawezi kumchallenge hilux kwa mazingira yetu ya kiafrika. Ukiachana na landcruise mkonge, toyota hilux ndio a true work horse ya afrika. Inanusa tu mafuta na iko reliable sana. Nnampango wa kuandaa heavy duty offroading challenge. tuyapeleke haya magari katika extreme off road conditions. kwenye tope la mfinyanzi.....barabara za mawe....mchanga wa beach, kisa tuzipe score. pia tuangalie baada ya kuipigisha mzigo wa maana, gharama ya service yake ikoje. gari mshindi ni lile litakaloperfom na kureplace pia vifaa vyake kwa gharama nafuu na kurudi porini...sio lile litakalo struggle porini, likifanikiwa kutoka litahitaji mil 5 za service. Hilo halifai kwa mazingira ya afrika.
hizo ni class mbili za magari zilizoundwa kwa matumizi tofauti....Linganisha kati ya haya yafuatayo.