JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Toyota GR Yaris ni Sampuli za vitz, Ila Toyota anazalisha hizi gari akilenga European market. Production yake imeanza last year
Kinakuja na Engine za aina mbili, 1.5L inline 3 na 1.6L inline 4 zote zikiwa na Turbo.
Pia kinakuja na gearbox za aina mbili, K120 CVT gearbox with first actual gear na 6 speed manual transmission. Japo hapa kwenye CVT naona kama wametoa boko, CVT kwenye sport car miyeyusho sababu ya lags pamoja na limitations zinazowekwa kwenye ECU plus belt kuslip.
Aiseeee hiki kigari ni kidunchu ila kinaonekana kina balaa kikiwa Road.
Hili toleo la manual wazungu wanaweza wakalinunua kama njugu, kinatoboa 200km/h faster tu.
Tiririka...