mvetenam kambodia
Senior Member
- Mar 20, 2018
- 149
- 93
Wakuu habarini za majukumu,naombeni ushauri kwa gari tajwa hapo juu naitaji kulinunua baada ya mavuno yangu ya mwaka,vpi ulaji wa mafuta,upatikaji wa spea,servis yake ikoje,asanteni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna gari inaitwa harrier lexus tangu dunia iumbwe boss.Nunua NewModel Harrier Lexus hutojuta achana na old model
Naitaka hii boss, ina mda gani ktk hali hii na ina matatizo ganinitafute nikuuzie hii mashine. itakufaa sana huko mashambani
![]()
Kama hujui kitu kaa kimya mkuu utaumbukaHamna gari inaitwa harrier lexus tangu dunia iumbwe boss.
Nakupa 500,000 hii nampelekea raphkovic chuga pale nampa million 7 inakua mpya naiuza 17,000,000.nitafute nikuuzie hii mashine. itakufaa sana huko mashambani
![]()
Lexus ni premium brand ya Toyota.Kama hujui kitu kaa kimya mkuu utaumbuka
Nakupa 500,000 hii nampelekea raphkovic chuga pale nampa million 7 inakua mpya naiuza 17,000,000.
Wewe ndio utakaeumbukaKama hujui kitu kaa kimya mkuu utaumbuka