BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
Itakuwa Gari ya kada hii,sasa hivi na yeye anaisoma namba ndio maana kaamua auze kabisa na hiyo Irizi ya CCM.Toa hicho kidude cha CCM kwanza Mkuu.
mkuu nitafanyia kazi maoni yako, nambie kama unalitaka!Toa hicho kidude cha CCM kwanza Mkuu.
teh teh teh siku hizi kila mtu akiuza kitu mnazani kaisoma namba, sio hivyo mkuu!!Itakuwa Gari ya kada hii,sasa hivi na yeye anaisoma namba ndio maana kaamua auze kabisa na hiyo Irizi ya CCM.
hiyo ni nembo tu lakini mtu yoyote anaweza kununua na kutumia gari hili, so kama unahitaji achana na uvyama hauna tija mkuu!!Gari la shabiki wa ccm lipeleke pale Lumumba utapata wanunuzi
Kabisaa mkuu haters wana matatizohiyo ni nembo tu lakini mtu yoyote anaweza kununua na kutumia gari hili, so kama unahitaji achana na uvyama hauna tija mkuu!!
mtu kutonunua hili gari kisa Kuna rangi au nembo ya chama, ni kurudishana nyuma...Kabisaa mkuu haters wana matatizo
hali mbaya sana ccm.
swissme
Mkuu kwa jinsi watu wanavyoichukia ccm lazima watakurudisha nyuma tu toa hicho kidude unajua kuna watu siasa ni imani mkuu ukitaka kujua siasa imani muulize jechamtu kutonunua hili gari kisa Kuna rangi au nembo ya chama, ni kurudisiva nyuma...
mi naamini mnunuzi hata kama gari inamkwaruzo tutaelewana tu lakini sio hiyo skafu ya CCM!!
mkuu nakubaliana nawe maana hapo kuna bodi , vioo, siti , milango N.k lakini vyote vimefichwa na hiyo nembo ya ccm !Mkuu kwa jinsi watu wanavyoichukia ccm lazima watakurudisha nyuma tu toa hicho kidude unajua kuna watu siasa ni imani mkuu ukitaka kujua siasa imani muulize jecha
Kaka 10m hizi hapa
Umeona eeh? Unadhani magari yameanza kuuzwa mwaka huu hapa JFteh teh teh siku hizi kila mtu akiuza kitu mnazani kaisoma namba, sio hivyo mkuu!!
Sio watu wote mkuu labda wewe!Ulinunua bila kujua?? 6cylinder ni ndoa ya kikiristu mkuu.....watu wanataka Four.