Car4Sale Toyota Harrier 19

Car4Sale Toyota Harrier 19

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2015
Posts
3,079
Reaction score
2,152
Bei tsh mil 16.5
1.plate number T675-DGA
2.Ya mwaka 1999
3.imetembea km 106,000
4.ina CC 2900
5.ipo katika hari nzuri
6.engine ni 6 cylinder lakini ni VVTi ambayo sawa na 4 (wanaojua magari wanaelewa)
Negotiate: Yes
Location: Dar es Salaam ,
Mob: +255 718 295 182 Au +255 621153936

View attachment 410384
IMG-20161001-WA0011.jpg
IMG-20161001-WA0009.jpg
IMG-20161001-WA0008.jpg
IMG-20161001-WA0005.jpg
IMG-20161001-WA0012.jpg
IMG-20161001-WA0004.jpg
 
Kabisaa mkuu haters wana matatizo
mtu kutonunua hili gari kisa Kuna rangi au nembo ya chama, ni kurudishana nyuma...
mi naamini mnunuzi hata kama gari inamkwaruzo tutaelewana tu lakini sio hiyo skafu ya CCM!!
 
mtu kutonunua hili gari kisa Kuna rangi au nembo ya chama, ni kurudisiva nyuma...
mi naamini mnunuzi hata kama gari inamkwaruzo tutaelewana tu lakini sio hiyo skafu ya CCM!!
Mkuu kwa jinsi watu wanavyoichukia ccm lazima watakurudisha nyuma tu toa hicho kidude unajua kuna watu siasa ni imani mkuu ukitaka kujua siasa imani muulize jecha
 
Mkuu kwa jinsi watu wanavyoichukia ccm lazima watakurudisha nyuma tu toa hicho kidude unajua kuna watu siasa ni imani mkuu ukitaka kujua siasa imani muulize jecha
mkuu nakubaliana nawe maana hapo kuna bodi , vioo, siti , milango N.k lakini vyote vimefichwa na hiyo nembo ya ccm !
 
Back
Top Bottom