green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Wadau wa tunaomiliki hizi gari Toyota Harrier matoleo yote tujuane tuelezane changamoto mbalimbali na faida za kumiliki, ufundi, upatikanaji wa spear na ulaji mafuta.
Mi mdau mmoja wapo hii gari karibuni tupeane habari
Mi mdau mmoja wapo hii gari karibuni tupeane habari