Toyota harrier inatakiwa m31. Gari ipo Msasani/ostabey polisi mpya.

Toyota harrier inatakiwa m31. Gari ipo Msasani/ostabey polisi mpya.

Haina tatizo lolote, boss wangu mwenye hiyo gari kununua Alphard new.. hiyo ndio sababu ya kuuza hii harrier. Hii harrier imenunuliwa m37 africars show room/njia panda Mabibo. (O783 708437:- Karibu sana/Gari ya muhindi)
Weka pichaa ata moja , kama picha ngumu weka details muhim kama mwaka ,rangi ,engine 2Az au ?
 
Mbona ukiitazama kwa hapo mbele kama ima shida hivi?
Haina scratch yoyote wala haijawahi kupigwa rangi. Kwa ufupi gari ni mpya sana/tyre mpya/redio android..
 

Attachments

  • 20240902_152130.jpg
    20240902_152130.jpg
    2.1 MB · Views: 16
  • 20240902_152149.jpg
    20240902_152149.jpg
    1.8 MB · Views: 18
  • 20240902_152649.jpg
    20240902_152649.jpg
    2 MB · Views: 16
  • 20240902_152805.jpg
    20240902_152805.jpg
    2 MB · Views: 17
  • 20240902_152903.jpg
    20240902_152903.jpg
    1.9 MB · Views: 16
  • 20240902_153115.jpg
    20240902_153115.jpg
    1.7 MB · Views: 14
  • 20240902_152258.jpg
    20240902_152258.jpg
    1.3 MB · Views: 16
Back
Top Bottom