Car4Sale Toyota Harrier inauzwa

Car4Sale Toyota Harrier inauzwa

Analeta tangazo nampigia simu toka jana mpaka muda huu hapokei....watu wengine wa ajabu sana. Sasa umeweka namba za simu za Nini?
.
Asiyeamini ampigie huyu jamaa Sasa hivi aone kama atapokea simu, hata Kama umeshauza unapokea simu unamwambia mwenzako kwamba UMESHAUZA
 
Jinga hilo achana nalo,mimi mwenyewe nimelipigia tangu jana halipokei
 
Madalali punguzeni hasira basi. Inawezekana mtu wa watu alikuwa busy kutatua changamoto zake zilizomfanya kuuza hilo gari.
 
Wakuu, Gari nimeshauza tayari.
Sasa Nini kinafanya usipokee simu, kwani tutakupeleka polisi??
.
Uwe serious na mambo yako, huo uliofanya ni utoto. Nakupigia toka jumamosi jioni mpaka Leo mchana HUPOKEI SIMU.
.
Huo ni UTOTO [emoji34]
 
Wakuu, Gari nimeshauza tayari.
Nilikuwa serious na gari yako, nikafika mpaka Boko pale gereji ulipoiacha
...na nilikuwepo Mke wako alivyomtuma shemeji yako aje kuchukua gari pale kwa fundi akisema ameshauziwa na dada yake.
.
Next time unapokea simu unatoa feedback tu, "NIMESHAUZA"
 
Back
Top Bottom