0716398757 Check me tuongeeMkuu kula tano kamili. Serious buyer
Nashukuru kwa elimu mkuuMkuu hakunaga Toyota Harrier Lexus. Ama ni Toyota Harrier au ni Lexus RX300. Hiyo yako inaonesha ni Toyota Harrier. Watu wengi wamekuwa wanabadirisha Harrier kuonesha zifanane na Lexus RX. Kutaka kujua hilo, moja ya tofauti kubwa ya hizi gari ni kwamba Toyota Harrier huwa na front fender (mirrors) lakini Lexus RX hazina.
Asante karibu sanaMi nasubiria mpaka mshushe bei,ikifika kwenye m 2 au 3