Car4Sale Toyota Harrier Lexus 5.9 million tu

Car4Sale Toyota Harrier Lexus 5.9 million tu

Lita moja inaenda kilomita ngapi?
 
No.A uliipaki wapi hadi iwe na km180,000 tu?
ilikuja na zero km?

Sema unaiuza utaeleweka sio kuweka details za uwongo
Mafuta mkuu..nadhani ndio sababu hata ya kuuza
 
Yaan pamoja na hizo cc2990 niliona kawaida sasa hiyo pua hapo mbele ndo nikaogopa zaid maana inaturbo so itakunywa mafuta zaid ya hizo cc2990
 
Hahaaaa, hiyo injini subiri uchumi wa viwanda!
 
Back
Top Bottom