Toyota Harrier

Toyota Harrier

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
784
Reaction score
327
Habari wadau.

1. Naomba kufahamu kuhusu wastani wa ulaji mafuta (Fuel consumption) wa Toyota Harrier zinazoanzia mwaka 2001 za 2.4l (2az engine). Naomba uniambie ulaji wa ile ambayo ina 2W na ile yenye 4WD.

2. Harrier ya 4WD inazunguka tairi zote kila wakati (all wheel drive) na hili linaathiri ulaji wake wa mafuta?

3. Gari mpya na used (kwa mfano huu huu wa Harrier) zinatofautiana ulaji wa mafuta? Na kwa gari used ukitaka kurudisha fuel efficiency wakati ikiwa mpya nini unaweza fanya? Kubadili spark plugs au?

Asante.
 
Back
Top Bottom