TOYOTA HIACE INAHITAJIKA

TRACE

Senior Member
Joined
Jul 4, 2008
Posts
120
Reaction score
46
Habari ndugu zanguni.Naomba kujuzwa aina nzuri ya Toyota Hiace iwe kuanzia mwaka 2005 hadi 2008 diesel na showroom gani nitaweza kuipata pamoja na bei kwa hapa Dar es Salaam.Naomba kwa atakayekuwa na ufahamu huo au kama wewe ni mmiliki wa showroom na unayo tuwasiliane pia.Natanguliza shukrani.
 
Nenda istagram zipo account nyingi za madalali wa magari.
 
Wacheki autocom Kama wana hiace Toyota used from Japan kwenye stock yao au kama ungetaka ufanyiwe import uletewe gari hapa bongo kwa muda kadhaa basi nicheki PM mkuu kwa msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…