TRACE
Senior Member
- Jul 4, 2008
- 120
- 46
Habari ndugu zanguni.Naomba kujuzwa aina nzuri ya Toyota Hiace iwe kuanzia mwaka 2005 hadi 2008 diesel na showroom gani nitaweza kuipata pamoja na bei kwa hapa Dar es Salaam.Naomba kwa atakayekuwa na ufahamu huo au kama wewe ni mmiliki wa showroom na unayo tuwasiliane pia.Natanguliza shukrani.