LACHERO
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 478
- 278
X4 wametoa karibuni. Ni kama X6 lakini ndogo zaidi.
Mkuu kwema?? Vipi kwa bmw x3? Bei plz
Akikujibu nijuze mkuu nataka hii kitu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
X4 wametoa karibuni. Ni kama X6 lakini ndogo zaidi.
Mkuu kwema?? Vipi kwa bmw x3? Bei plz
Safi sana mkuu Isanga family kwa ufafanuzi, so ya 2010 iliyopata ajali wakirekebisha, I mean kununua, kutengeneza, kuisafirisha na kodi ya hapa bongo inaweza ni gharimu sh ngapi? MkuuKruger hiyo picha ni pick up ya 2016 na 2017 V 8 hizo nakujulisha bei ya 2010 mpaka 2015 nyingi ni v6 kurekebisha ya ajali ni nafuu SA kuriko Arusha unampa dealer tuu mwezi ipo kama mpya inategemeana na ajali yake...ila kama unataka ya 2017 ya ajali pia zipo ila kwa bongo hata ukipata ya 2010 bado ni toleo la karibuni kodi na bei yake itakua chini kidogo...
Nakushukuru sana Ndugu yangu hadi hapo umenipa mwanga mkubwa sana kuhusu hili, barikiwa sanaOk chukua iliyogongwa headlight kidogo au bumper hizo unazikuta kuanzia tsh 18milion mpaka tsh 23milion unabadilisha taa au bumper unamwaga oil,plug na filter na kupata police clearance ya interpol na safari inaanza ni d4d 3liter diesel johanesburg mpaka tunduma 2800 km hesabu ya mafuta piga hapo...karatasi za interpol bure ni service tuu na kulipia entry boarder mbili zimbabwe na zambia kama usd 150 kila boarder na tollfees za barabara 40usd...kodi Tanzania ni 20milion wastani wa tsh 40m mpaka 45milion inategemeana na bei uliyonunua na jinsi ulivyozunguka kupata gari ya bei cheee maana scrap yard na minada ni mingi sana...
Mkuu unaweza kunipa mwanga Volkswagen Amarok pick up naweza kupata kwa bei gani? NitashukuruNakushukuru sana Ndugu yangu hadi hapo umenipa mwanga mkubwa sana kuhusu hili, barikiwa sana
mkuu hukunipa mrejesho nahitaji pick upSavius Cruiser nyingi zipo mpumalanga mashambani mjini zilizopo ni zilizopata ajali huko kwa mwaka huu sijakwenda mwezi wa nane ntakua huko tukijaaliwa ntakupa bei ya shamba..unataka pick up au
Mkuu hujasema unataka pick up aina gani? Toyota d4d,Ford Ranger, Nissan au kwa ununuzi hazina bei kodi Tanzania ndio imesimama kutokana na Mwaka na aina ya pick up...na pia naweza kukushauri ukiweza agiza UK pick up zipo bei chini kuliko SA na Japan na nzuri pia...mkuu hukunipa mrejesho nahitaji pick up