Toyota hilux 2.8 vs hiluxD4D

Toyota hilux 2.8 vs hiluxD4D

2.8 ni habari nyingine, ni ngumu halafu inatengenezeka
 
Hakuna mtu wa kuongezea tunyama hapa?
 
Tena inatumia diesel, utainjoi sana haya mm nahitaji gari ya diesel sasa petrol pasua kichwa
 
Back
Top Bottom