Hii sio sawaNdo maana tunapenda kununua gari za mkononi, unaingiza premio chassis kwa 17m unakaa miezi 9 unafulia wahuni tunakulegeza kwa 12m tunaendelea nayo .
Umewahi kuagiza gari mkuu? No offense.Hiyo ni calculator mtandaoni ambayo inakupa mwanga ni kiasi gani cha kodi.
Ila ukiangalia kwenye calculator CIF ni 11,000/= na wewe CIF ni 6,000) = so ukija kwenye paper work hiyo kodi inapungua pakubwa sana.
Mi hadi nachoka. Hawa jamaa bwana. Naikuta single cabin CIF $6,000 (mil 16) uko Beforward.
View attachment 2996869
Hafu eti ushuru sasa wa TRA mil 28 unalipa. Karibia mara mbili ya bei ya kununua.
View attachment 2996871
Gari ya kazi tunabaniana. Sasa ukigusa double cabin unakuta CIF kubwa na ushuru 30+
Ndio nimewahi.Umewahi kuagiza gari mkuu? No offense.
Kodi iliyowekwa na TRA haishuki kabda ipande tu.