Toyota Hilux: Hi chuma TRA hawataki tuimiliki

Toyota Hilux: Hi chuma TRA hawataki tuimiliki

Hiyo ni calculator mtandaoni ambayo inakupa mwanga ni kiasi gani cha kodi.

Ila ukiangalia kwenye calculator CIF ni 11,000/= na wewe CIF ni 6,000) = so ukija kwenye paper work hiyo kodi inapungua pakubwa sana.
Thubutuuu!!!!!!
Toka lini Kodi inashuka Kwa njia hiyooo.... sijawahi kuona hawa jamaa wapunguza Kodi zilizopo kwenye calculator Yao
 
Tuombe MUNGU hii budget ya safari wasiongeze tena ushuru najua kuanzia mwezi wa 7 tutalia zaidi kwenye Kodi kuna tetesi wanasema Kodi zitaongezeka pale dandarini na TRA
 
Hahahah hivi hawa viongozi wa juu wanatumia nini kufanya maamuzi?
Yani kodi ni mara mbili ya bei ya bidhaa?

Wamekosa maono kwenye maswala ya kodi.
Kuna tajiri Zanzibar alishindwa kulipa kodi ya G Wagen.
 
Hii TRA ifumuliwe yote huu ni ukoroni wa ndani sasa
 
Hiyo ni calculator mtandaoni ambayo inakupa mwanga ni kiasi gani cha kodi.

Ila ukiangalia kwenye calculator CIF ni 11,000/= na wewe CIF ni 6,000) = so ukija kwenye paper work hiyo kodi inapungua pakubwa sana.
Kodi iliyowekwa kwenye mtandao huwa haishuki labda ipande. Mfano wao kwenye kikokotozi chao wamepiga hesabu za CIF $6,000 na wewe kiuhalisia umenunua CIF $3,000 basi utalipia hesabu za CIF $6,000 kulingana na makadirio yao ya awali. Ila kama kiuhalisia umenunua CIF $11,000 basi wao wataachana na makadirio yao ya awali na kwenda sambamba na uhalisia wa bei yako hivyo kodi itaongezeka. In short no kupunguza kodi kwa kuwa umenunua chini ya makadirio yao ila yes kuongeza kodi ukinunua zaidi ya makadirio yao.
 
FB_IMG_17157522103040922.jpg
FB_IMG_17157522065194973.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_17157522027492219.jpg
    FB_IMG_17157522027492219.jpg
    226.4 KB · Views: 6
Back
Top Bottom