PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Thubutuuu!!!!!!Hiyo ni calculator mtandaoni ambayo inakupa mwanga ni kiasi gani cha kodi.
Ila ukiangalia kwenye calculator CIF ni 11,000/= na wewe CIF ni 6,000) = so ukija kwenye paper work hiyo kodi inapungua pakubwa sana.
Ushawahi fanya hichi kitu tangu mfumo wa calc uanzishwe?Hiyo ni calculator mtandaoni ambayo inakupa mwanga ni kiasi gani cha kodi.
Ila ukiangalia kwenye calculator CIF ni 11,000/= na wewe CIF ni 6,000) = so ukija kwenye paper work hiyo kodi inapungua pakubwa sana.
Wakuu hapo kwenye Thailand ni country of origin ya gari wala hapajakosewa hapoLakini hiyo ni TRA ya Thailand
Swali la kidwanzi. Siwezi comment kitu nisichojua.Ushawahi fanya hichi kitu tangu mfumo wa calc uanzishwe?
Agiza ufanye hivyo. Mwambie dealer afoji hata ile CIF.Thubutuuu!!!!!!
Toka lini Kodi inashuka Kwa njia hiyooo.... sijawahi kuona hawa jamaa wapunguza Kodi zilizopo kwenye calculator Yao
Kodi iliyowekwa kwenye mtandao huwa haishuki labda ipande. Mfano wao kwenye kikokotozi chao wamepiga hesabu za CIF $6,000 na wewe kiuhalisia umenunua CIF $3,000 basi utalipia hesabu za CIF $6,000 kulingana na makadirio yao ya awali. Ila kama kiuhalisia umenunua CIF $11,000 basi wao wataachana na makadirio yao ya awali na kwenda sambamba na uhalisia wa bei yako hivyo kodi itaongezeka. In short no kupunguza kodi kwa kuwa umenunua chini ya makadirio yao ila yes kuongeza kodi ukinunua zaidi ya makadirio yao.Hiyo ni calculator mtandaoni ambayo inakupa mwanga ni kiasi gani cha kodi.
Ila ukiangalia kwenye calculator CIF ni 11,000/= na wewe CIF ni 6,000) = so ukija kwenye paper work hiyo kodi inapungua pakubwa sana.
Nauliza ili unipe uzoefu sasa udwanzi unatoka wapi? Au ndo yale ya ukijua kitu basi wengine maduanzi? Haya, Embu nipe uzoefu, natakiwa nifanyaje ili kodi iliyopo kwenye calculator ipungue?Swali la kidwanzi. Siwezi comment kitu nisichojua.