Toyota Hilux(Mpya) ya kukodi kwa mda mrefu inahitajika kwa haraka

Toyota Hilux(Mpya) ya kukodi kwa mda mrefu inahitajika kwa haraka

Mabel

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2010
Posts
1,290
Reaction score
720
Amani kwenu wakuu,
Kama kichwa cha habari kilivyo, inahitajika Toyota Hilux D/cabin (mpya/nzuri) kukodisha kwa mda mrefu.
Kwa yeyote anayefahamu kampuni ninayoweza kupata gari hii naomba anisaidie.
Natanguliza shukrani.
 
Nenda pale Toyota Tanzania wanaweza kukupa details. Salute finance nadhani ni moja ya wanaokodisha. Ila wengi wanakodisha kwa kampuni kubwa kubwa na sio kwa mtu anayechukua gari moja!
 
Back
Top Bottom