Amani kwenu wakuu,
Kama kichwa cha habari kilivyo, inahitajika Toyota Hilux D/cabin (mpya/nzuri) kukodisha kwa mda mrefu.
Kwa yeyote anayefahamu kampuni ninayoweza kupata gari hii naomba anisaidie.
Natanguliza shukrani.
Nenda pale Toyota Tanzania wanaweza kukupa details. Salute finance nadhani ni moja ya wanaokodisha. Ila wengi wanakodisha kwa kampuni kubwa kubwa na sio kwa mtu anayechukua gari moja!