Mkuu unataka bei aweke nani? Fikisha ujumbe uliokamilika mkuu............!
Poleni wakuu, nilikua nacheki na mwenye mali ni confirm bei. Ila nimeshaiweka hapo!
Mkuu vp imetembea km ngapi?
Kuhusu kilometer, nadhani hadi kesho nitaenda kucheki then ntaposti hapa kwenye thread!
Poa mkuu lakini bei hii dah ipo juu kidogo ingawa pick up sasa hivi adimu sana.
Wadau wa JF,
Kuna Toyota Pickup (Short Chasis) Hilux inauzwa.
Ipo katika hali nzuri kama unavyoiona katika picha.
Hii gari ina engine ya 12R, na ilikua inatumika kama gari ya kutembelea, so bado inadai.
Hijawahi kufanyiwa overhaul, ni model ya mwaka 1981. Kwa wazee wa shamba na maeneo ya vijijini, kitu ndo hicho sasa.
Bei ni inaanzia Tsh 6.8mil.
Kwa maelezo zaidi piga 0713 809050
View attachment 5545
View attachment 5547
View attachment 5551
View attachment 5544
View attachment 5543
View attachment 5548
View attachment 5549
View attachment 5546
View attachment 5550
6.8 million shillings for some an almost 30-years old freaking piece of junk? Gimme a break! I wouldn't even take it for free! We are not living in 1981 when being seen driving around Dar streets with a clunker like this ranked next to royalty. Get real dude!

Unaishi wapi mkuu? Hii gari si ya kutembelea barabarani kama RAV4. Hii gari ni kwa ajili ya shamba ambapo huwezi kwenda nda Nissan 2.8 au Hilux ya 2009!
Unaishi wapi mkuu? Hii gari si ya kutembelea barabarani kama RAV4. Hii gari ni kwa ajili ya shamba ambapo huwezi kwenda nda Nissan 2.8 au Hilux ya 2009!
Sidhani kama unafahamu bei ya pick up za kazi au ubora a hiyo engine ya 12R. Get real, haya si magari za kukaa Dar, haya ndiyo magari yanayosafirisha wazalishaji wa chakula na chakula chako huko mikoani ambako hakuna barabara za kueleweka.
Hili ni gari lenye two solid axles, a timing gear and a reasonably fuel efficient engine with a great pull.
That's a joke of a pick up truck
I am naive on this...naomba kuelimishwa hivi gari ya 1981, spea genuine bado zipo madukani? Otherwise jamaa amejitahidi kuitunza hii pick up...ila bei yuko juu sana.
Spea pekee ilikuwa inabadilishwa ni tyres....labda na wese tu mkuu
Hiyo kitu nimeicheki, kwa kweli si wazee wa shamba kule Vikindu, Kinyerezi kwa Dar....! na Dakawa, Lukobe, Kilosa kwa Moro...inatufaa sana kaka! Sema tu bei mwana ipo juu kidogo....uwezo unabana!
Next Level, post hapa au ni PM price ambayo ingeweza kuwa reasonable kwa gari kama hii.
Unaishi wapi mkuu? Hii gari si ya kutembelea barabarani kama RAV4. Hii gari ni kwa ajili ya shamba ambapo huwezi kwenda nda Nissan 2.8 au Hilux ya 2009!