Toyota Hilux Pickup 12R Inauzwa

Toyota Hilux Pickup 12R Inauzwa

Ramthods

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2009
Posts
515
Reaction score
187
Wadau wa JF,

Kuna Toyota Pickup (Short Chasis) Hilux inauzwa.

Ipo katika hali nzuri kama unavyoiona katika picha.

Hii gari ina engine ya 12R, na ilikua inatumika kama gari ya kutembelea, so bado inadai.

Hijawahi kufanyiwa overhaul, ni model ya mwaka 1981. Kwa wazee wa shamba na maeneo ya vijijini, kitu ndo hicho sasa.

Bei ni inaanzia Tsh 6.8mil.

Kwa maelezo zaidi piga 0713 809050

HILUX 003.jpg

HILUX 006.jpg

HILUX 015.jpg

HILUX 002.jpg

HILUX 001.jpg

HILUX 007.jpg

HILUX 010.jpg

HILUX 004.jpg

HILUX 013.jpg
 
Last edited:
Mkuu vp imetembea km ngapi?
Na bei ya kuanzia nayo ungeweka pia.
 
Mkuu unataka bei aweke nani? Fikisha ujumbe uliokamilika mkuu............!
 
Poleni wakuu, nilikua nacheki na mwenye mali ni confirm bei. Ila nimeshaiweka hapo!

Mkuu vp imetembea km ngapi?

Kuhusu kilometer, nadhani hadi kesho nitaenda kucheki then ntaposti hapa kwenye thread!
 
Poa mkuu lakini bei hii dah ipo juu kidogo ingawa pick up sasa hivi adimu sana.
 
Ok tumekupata mkuu...
 
nadhani kwa sasa katika ununuzi wa magari km zilizotembea sio muhimu sana , cha muhimu ni body, kama body inalipa basi unanegotiate bei ambabyo itakuwezesha kununua injini nyingine na kudunda kama kawa
cha muhimu ni body
 
Poa mkuu lakini bei hii dah ipo juu kidogo ingawa pick up sasa hivi adimu sana.

Hii gari inatumiwa na mmama, ni nzuri sana kwa kweli. Si unajua tena mambo ya wamama kwa kumentain magari.

Kama upo tayari kukunua, just nicheki kwenye hiyo namba hapo nikupe namba yake uchonge nae direct mwenyewe akupe bei fresh!
 
Wadau wa JF,

Kuna Toyota Pickup (Short Chasis) Hilux inauzwa.

Ipo katika hali nzuri kama unavyoiona katika picha.

Hii gari ina engine ya 12R, na ilikua inatumika kama gari ya kutembelea, so bado inadai.

Hijawahi kufanyiwa overhaul, ni model ya mwaka 1981. Kwa wazee wa shamba na maeneo ya vijijini, kitu ndo hicho sasa.

Bei ni inaanzia Tsh 6.8mil.

Kwa maelezo zaidi piga 0713 809050

View attachment 5545

View attachment 5547

View attachment 5551

View attachment 5544

View attachment 5543

View attachment 5548

View attachment 5549

View attachment 5546

View attachment 5550

6.8 million shillings for some an almost 30-years old freaking piece of junk? Gimme a break! I wouldn't even take it for free! We are not living in 1981 when being seen driving around Dar streets with a clunker like this ranked next to royalty. Get real dude!
 
Unaishi wapi mkuu? Hii gari si ya kutembelea barabarani kama RAV4. Hii gari ni kwa ajili ya shamba ambapo huwezi kwenda nda Nissan 2.8 au Hilux ya 2009!
 
Sidhani kama unafahamu bei ya pick up za kazi au ubora a hiyo engine ya 12R. Get real, haya si magari za kukaa Dar, haya ndiyo magari yanayosafirisha wazalishaji wa chakula na chakula chako huko mikoani ambako hakuna barabara za kueleweka.

Hili ni gari lenye two solid axles, a timing gear and a reasonably fuel efficient engine with a great pull.

That's a joke of a pick up truck
 
Achana naye mijitu mingine inafikiri bongo ni Europe au America! Utawajuwa tu kwa maneno yao!

Hiyo kitu nimeicheki, kwa kweli si wazee wa shamba kule Vikindu, Kinyerezi kwa Dar....! na Dakawa, Lukobe, Kilosa kwa Moro...inatufaa sana kaka! Sema tu bei mwana ipo juu kidogo....uwezo unabana!
 
I am naive on this...naomba kuelimishwa hivi gari ya 1981, spea genuine bado zipo madukani? Otherwise jamaa amejitahidi kuitunza hii pick up...ila bei yuko juu sana.
 
Sidhani kama unafahamu bei ya pick up za kazi au ubora a hiyo engine ya 12R. Get real, haya si magari za kukaa Dar, haya ndiyo magari yanayosafirisha wazalishaji wa chakula na chakula chako huko mikoani ambako hakuna barabara za kueleweka.

Hili ni gari lenye two solid axles, a timing gear and a reasonably fuel efficient engine with a great pull.

That's a joke of a pick up truck

PP,

Hapa tunaenda sawa kabisa........!
 
I am naive on this...naomba kuelimishwa hivi gari ya 1981, spea genuine bado zipo madukani? Otherwise jamaa amejitahidi kuitunza hii pick up...ila bei yuko juu sana.

Masa...bwana hivi vigari achana navyo kabisa......! Mimi wakati nipo Seminary aisee tulikikuta kitoyota kama hiki kikiwa tayari kilishakuwepo for the past 25 yrs, ila chenyewe ni kistout....., tulidundia mzigo for four years na tukakiacha kikidunda mzigo!

Spea pekee ilikuwa inabadilishwa ni tyres....labda na wese tu mkuu! Hizi gari japo ni old....roho ya paka kweli kweli!
 
Spea pekee ilikuwa inabadilishwa ni tyres....labda na wese tu mkuu

NL

Kweli hizo gari ni roho ya paka....nimecheka sana eti tyres na wese
 
Hiyo kitu nimeicheki, kwa kweli si wazee wa shamba kule Vikindu, Kinyerezi kwa Dar....! na Dakawa, Lukobe, Kilosa kwa Moro...inatufaa sana kaka! Sema tu bei mwana ipo juu kidogo....uwezo unabana!

Next Level, post hapa au ni PM price ambayo ingeweza kuwa reasonable kwa gari kama hii.

Hii gari nilichukua picha kwa mama mmoja jirani yangu nikazipost hapa. Ila inawezekana bei yake ni kubwa kuliko expectation za watu... may be ni wa kushauriwa or something ka anaweza shusha bei. Akipunguza nitakuja ku adjust price hapa ili wazee wa shamba muweze kujipiga piga.

Tatizo wazee mi sijui bei ya pickup kwa sasa.
 
Next Level, post hapa au ni PM price ambayo ingeweza kuwa reasonable kwa gari kama hii.

Vigumu mi kuestimate kwa kuangalia picha, labda nikiiona kabisa can say bei gani inaweza kuwa fair for both sides!
 
hiyo gari inafaa iwe souvenirs
inaonekana mwenyewe alikuwa haitumii
ikitumika ipasavyo miezi sita tu utaanza kutafuta spea kila kona
 
Unaishi wapi mkuu? Hii gari si ya kutembelea barabarani kama RAV4. Hii gari ni kwa ajili ya shamba ambapo huwezi kwenda nda Nissan 2.8 au Hilux ya 2009!

Haya magari ni magumu sana na spare zipo! Kwa bei mimi naona sawa kabisa maana ni magumu na rahisi kutengeneza! Hili ni gari la kazi na ni shoka. Ila kusema kuwa inapita sehemu ambazo Nissan 2.8 haipiti HII SI KWELI!!
 
Back
Top Bottom