flood
Senior Member
- Jul 10, 2017
- 121
- 188
Naaamini hapa kuna wataalamu na watumiaji wazuri wa magari mbalimbali, basi ukiwa kama mdau wa magari naomba ushauri juu ya hii gari make ya toyota model ya hilux surf... kiujumla kazi zangu ni za porini na barabara sio nzuri pia natarajia kuwa naitumia kubebea mizigo nikiwa natoka na kwenda porini.