Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Kuna ambayo ilikuwa inauzwa Dom 150 Mil mkuu...Unaifahamu bei yake lakini hii? Unapata vitz, crown, passo na IST ngapi unajua?
Vxx moja unafungua yard ya Passo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ambayo ilikuwa inauzwa Dom 150 Mil mkuu...Unaifahamu bei yake lakini hii? Unapata vitz, crown, passo na IST ngapi unajua?
Huku mjini anaovateki bila kuangalia anakuwashia taa unampisha,tabia hujenga mazoea wakienda highway malori yanawanyoosha
Situation kama hio unawezaje kupiga picha?
Situation kama hio unawezaje kupiga picha?
Kwenye gari mkuu mnakuwa mpo wawili..Situation kama hio unawezaje kupiga picha?
Mbona mm yangu 179 imetulia sakafuni..Japanese car ikishavuka 100kph haiko mikononi mwako.
Bongo au mtoniHivi ulimuona yule jamaa aliekufa kwenye Hilux? Alibanwa yuko hai kuanzia usiku hadi saa nane hivi ndio akafa anajiona. Yaani watu hawawezi kumtoa wanabaki wanapiga nae stori. Simjui yule jamaa ila roho iliniuma sana. Hatuna rescue team wala nini, ukipata ajali hadi kupata msaada ni masaa, halafu madogo bado wanafanya mchezo na haya magari. Nakumbuka maneno ya yule jamaa 'haya magari haya...'
Hioo X6 juu hapo kama ya yule dogo
Hiyo ni car crash,head to head au hit,hapo hata Mjerumani angesanda. Gari za Mjerumani ni stable na kwa issue ya rolling/overturning yanahimili,lakini uso kwa uso,yana salim amri pia.Lakini ni body mbili tofauti kabisa... Gari za ulaya usalama umezingatiwa mno hasa kwenye body
Mkuu ilikuaje huko njiani ya makwetu,ulitaka kula za uso na malori ya Dangote nini?Aiseee nimekoma kuna siku niko na ipsum yangu natokea mtwara nipo 145+ speed kwa kweli nimejifunza sahv max speed ni 100
na mm nataka kujuaHapa ilikuwaje? [emoji87][emoji87][emoji87]
BongoBongo au mtoni
video ipo wapBongo
Nisha deletevideo ipo wap
Gari iliminywa hadi bonnet na kila kitu vikamfikia. Aliingia nyuma ya Lori usiku,inaonesha alikuwa over 150kphMungu wangu huyo sijamuona duu... Rescue team, vifaa na wasamaria walio committed pia...... Alikufa kifo cha maumivu mengi