Toyota hizi...!

Kufika salama ni jambo la kumshukuru Mungu... Huu mzinga si wa kitoto... Hata ukiwa road na speed 40 atatoka kichaa huko na speed zake anakuzoa...



 
Bongo au mtoni
 
Lakini ni body mbili tofauti kabisa... Gari za ulaya usalama umezingatiwa mno hasa kwenye body
Hiyo ni car crash,head to head au hit,hapo hata Mjerumani angesanda. Gari za Mjerumani ni stable na kwa issue ya rolling/overturning yanahimili,lakini uso kwa uso,yana salim amri pia.
R.I.P RChunga(sijui ni R Chuga)
 
Aiseee nimekoma kuna siku niko na ipsum yangu natokea mtwara nipo 145+ speed kwa kweli nimejifunza sahv max speed ni 100
Mkuu ilikuaje huko njiani ya makwetu,ulitaka kula za uso na malori ya Dangote nini?
Pole,mrudie Mungu wako kama ulitaka kula mzinga na ukapona.
 
Mungu wangu huyo sijamuona duu... Rescue team, vifaa na wasamaria walio committed pia...... Alikufa kifo cha maumivu mengi
Gari iliminywa hadi bonnet na kila kitu vikamfikia. Aliingia nyuma ya Lori usiku,inaonesha alikuwa over 150kph
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…