Toyota hizi...!

Toyota hizi...!

T
Si kwamba nazikandia hizi gari za kijapan la hasha. Nimewahi kuzimiliki Chaser mayai na balloon GX90. Kila moja imevuma kwa nyakati zake. Zikisifika kwa wepesi mwendo (kuchanganya haraka) kiyoyozi kama Greece land. Zimepita model nyingi.

Tunamalizia enzi za Harrier TAKO LA NYANI zimechuja haraka baada ya nyingi kupiga chini.

TOYOTA crown bado iko juu lakini nayo inaendelea kuchinja watu. Simlaumu mjapani katengeneza kwa matumizi yake na taratibu zake. Huku hatuzingatii hili kabisa

Mwisho tunaishia kulaumu na kusema TOYOTA hizi lakini pamoja na kuwa na viwango vidogo vya usalama kulinganisha na gari za ulaya bado tatizo ni letu sisi wenyewe.

ELIMU JUU YA VYOMBO VYA MOTO hasa gari nyepesi za kijapani tumepoteza damu changa nyingine Kabuku. Damu ya Rchunga... Rip [emoji1019] View attachment 1105974View attachment 1105975View attachment 1105976
Tatizo mzee wangu mshana halipo kwenye gari Bali lipo kwa watumizi wa magari (Madereva) hivi kwani ukiendesha gari kwa umakini wa hali ya juu kabisa unapokuwa njiani na kuendesha kwa "speed" ya kistarabu unahisi yatatokea hayo, ila pia tukumbuke kuwa Kila mtu amepangiwa na MwenyeziMungu yakuwa vipi ataondoka (kufa) katika hii dunia, na wapi roho yake itatoka na wakati gani. Jambo lamuhimu ni kuzingatia utaratibu mzuri wa kuendesha magari na Sheria za Barabarani.
 
Ajali ya mtu mwingine haiwezi kunifanya niongope kukanyaga mafuta..... Kesho asubuhi na safari ya Mbeya+Tunduma nikitoka Dar saa kumi na mbili asubuhi nataka saa kumi niwe Tunduma.... Nimesha andaa na hela ya faini kabisa ya matrafiki
Habari ya asubuhi mkuu,Msamvu umeisha ifagia? Kama bado naomba niunge tela niponeemo kafaini ka spidi.
 
Tukubaliane kuwa pamoja na kazi ya Mungu ila haya huchangia:

-Mwendo mkubwa wa dreva ambao hauendani na ubora wa barabara
-Kuemdesha safari ndefu na uchovu
-Kuwa katika hali ya ulevi
-Mzuka tu wa kutaka "kulifaidi" gari
 
Tukubaliane kuwa pamoja na kazi ya Mungu ila haya huchangia:

-Mwendo mkubwa wa dreva ambao hauendani na ubora wa barabara
-Kuemdesha safari ndefu na uchovu
-Kuwa katika hali ya ulevi
-Mzuka tu wa kutaka "kulifaidi" gari
Nidhamu barabarani na utii wa sheria na kanuni za driving
 
Back
Top Bottom