Toyota hizi...!


unalo sema kweli kaka,mfano huku south africa gari hizi hazitakiwi kabisa toyota za kijapan,wanagari zao ambazo ni sawa zengine zina fanana lakini ukiliona unasema hili gari mfano VITS inaitwa YARIS,unajua ile vits new model ilifanya vibaya lakini iliyopo huku ukiiona unaweza kusema IST jinsi ilivo ngumu.
kiufupi tu ajali zipo sema barabara sio salama na vyombo vyetu.kwa nchi yetu
 
Je speed kubwa na kuto kuwa makini barabarani kwa gari ya mjerumani huwezi kupata ajari??

Funguka zaidi tuweze kujifunza kuhusu hizi gari za mjerumani cc: Mshana Jr
Speed kubwa bila kujali hali/usalama wa barabara ajali zipo pale mkuu.

Sana sana mimi nimemaanisha kwenye stability ya gari ikiwa kwenye mwendo lakini pia body la gari kidogo ni gumu hivyo kuna chance kiasi ya survival pindi ajali ikitokea. Maswali mengine ya kiutalaamu watatuambia wazoefu wa gari hizi kutoka west/Europe!
 
T Tatizo mzee wangu mshana halipo kwenye gari Bali lipo kwa watumizi wa magari (Madereva) hivi kwani ukiendesha gari kwa umakini wa hali ya juu kabisa unapokuwa njiani na kuendesha kwa "speed" ya kistarabu unahisi yatatokea hayo, ila pia tukumbuke kuwa Kila mtu amepangiwa na MwenyeziMungu yakuwa vipi ataondoka (kufa) katika hii dunia, na wapi roho yake itatoka na wakati gani. Jambo lamuhimu ni kuzingatia utaratibu mzuri wa kuendesha magari na Sheria za Barabarani.
 
tatizo vijana wakishamilikia haya magari wanakua jeuri wanataka waonekane machampioni wa speed 120 kwenye kona shaaaaaa,mwisho USO kwa USO na roli la mchanga

R.I.P kijana dreva wa crown athlete
 

Hivi bwana anatwaa kupitia ajali za kizembe?

Wakati mwingine ni mtu anajipeleka kwa bwana
 
Ajali ya mtu mwingine haiwezi kunifanya niongope kukanyaga mafuta..... Kesho asubuhi na safari ya Mbeya+Tunduma nikitoka Dar saa kumi na mbili asubuhi nataka saa kumi niwe Tunduma.... Nimesha andaa na hela ya faini kabisa ya matrafiki

Halafu ilitokea ajali kuna watu watasema bwana ametwaa, wakati mtu kajiua mwenyewe kizembe intentionally
 
Je speed kubwa na kuto kuwa makini barabarani kwa gari ya mjerumani huwezi kupata ajari??

Funguka zaidi tuweze kujifunza kuhusu hizi gari za mjerumani cc: Mshana Jr
Gari za kijapan zimetengenezwa simple sana hasa hizi salon... Unakuta gari uzito wake ni tani moja tu... Na haina reinforcement za uhakika.... Mjerumani kaunda kitu cha maana hasa... Unakuta gari ndogo uzito wake tani 3 imewekewa vyuma vya maana... Niliwahi kupinduka na moja darajani hii njia ya Msata, nikatua chini darajani kichwa chini mijuu guu lakini sikutoka hata na jeraha na gari haikuumia kivile... Ingekuwa Toyota leo hii ingekuwa nakula kipupwe akhera
 
Dah huyu jamaa namfahamu anaitwa shaibu Jumbe (facebook alikuwa akijiita shayb Jumbe) alikuwa fundi magari maeneo ya Sinza, kaoa hata mwezi ndoa haijamaliza, yote kwa yote tunavyoendesha vyombo vya moto tuzingatie sheria za barabarani na tukumbuke majukumu tuliyo nayo na tumuombe Mungu sana atulinde dhidi ya watumiaji wengine wa barabara
 
tatizo vijana wakishamilikia haya magari wanakua jeuri wanataka waonekane machampioni wa speed 120 kwenye kona shaaaaaa,mwisho USO kwa USO na roli la mchanga

R.I.P kijana dreva wa crown athlete
[5/23, 21:58] Thomas: Rafiki yangu huyu jamaa anaishi sinza,last week niliwasiliana naye tukakubaliana tuonane ni fundi mzuri sana wa magari,crown ni yake siku nyingi alikua safarini leo ndo akapata ajali
[5/23, 21:58] Thomas: Anaitwa Shaibu Jumbe

Nimeicopy WhatsApp nilikopata hizi picha
 
Ni kweli,. mimi tangu niuze ya German na kuingia Japan siendi zaidi ya mia!! Japan hovyo kabisa kwenye usalama
 
Toyota za Kimarekani mwisho wa kazi speed 220 na hata ugonge jiwe itachubuka tu na kimkunjo kidogo..... hizi gari za mchina inagonga boda Boda inakanika vipande viwiliView attachment 1106081
Gari zip hizo mkuu.....!? Kuna jamaa aliniambia gari za kimarekani nzuri Sana ila mafundi ndo hamna bongo.....hi imkaaje wakuu ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…