Toyota imetajwa kuwa gari zinazoaminika zaidi nchini Marekani ikifuatiwa na BMW, Benz ni gari isiyoaminika kabisa

Sawa ford haiaminiki lakini kwenye soko la pickup, Toyota tacoma haisogezi mguu kwa hizo ford!!
Ni kweli kwa soko la marekani. Maana wamerakani wao wanapenda sana engine kubwa. Na ford inaengine options zenye engine kubwa. Ila toyota imefocus zaidi katika reliability (uiamara)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona wajerumami wa hapa jf bado wamelala mkuu au wapo chimbo wanatafuta madesa... hahahahaha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wabishi mbwa! Maofisini mwao hawaruhusiwi kuingia na simu, ngoja watoke uone shughuli yake! Mwingine atakuambia " jaribu kugeuza hiyo takwimu juu_ chini chini_juu alafu uone nani anaongoza "[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
American consumer reports inasema Toyota ni gari zinazoaminika zaidi nchini Marekani zikifuatiwa na BMW. Mazda, Honda na Audi.

Magari ya Kimarekani kama Ford, Tesla nk ni magari yasiyoaminika kabisa nchini Marekani.
View attachment 2422412
Uwa nikiwa nasoma maoni ya wamarekani kwenye mitandao mara nyingi huwa wanasifia toyota kuwa ni gari za uhakika kuanzia kazi na kudumu na service zake ni affordable kama sisi tu tunavyozisifia
 
Umemaliza vyote mkuu


" When Japanese engineers go on to design a product they ask themselves: “How will the customers use it? How can I prevent failure if they abuse it?”

The German engineer: “I made this machine and it has to be used in this particular way. If the customer abuses it and it fails it is his fault, not mine”. "

Hapa wajerumani wa mbweni, madale, mabwepande watakua wameelewa
 
Maisha ya kufuata ruler kama panya ndio majorite ya watu Duniani hawataki na Wajepu wameshajua watu wanataka nini, sio mtengenezaji anataka nini.
 
When Japanese engineers go on to design a product they ask themselves: “How will the customers use it? How can I prevent failure if they abuse it?”

The German engineer: “I made this machine and it has to be used in this particular way. If the customer abuses it and it fails it is his fault, not mine”.



- kwa usemi huu tu bhasi! Unamaliza mada zote za mjerumani, europe, italy na mjep.

Mwisho wa vikao vya mjerumani mara m'europe
 
Maisha ya kufuata ruler kama panya ndio majorite ya watu Duniani hawataki na Wajepu wameshajua watu wanataka nini, sio mtengenezaji anataka nini.
Ishu za hawa wengine wanadumisha dignity za brand tu na sio mahitaji ya mteja ndipo tunapo pishania, na hata ukiangalia wengi wanaotaka magari ya germany hapa tz wengi wana ishu za dignity na kujimwambafai kua ni alama ya mafaniko huku nyie wengine mkiwa baaaado sana kwa level zao
 
Nchi nzima wanunue toyota?.

How foolish your argument may seem.

This thinking capacity is alarming.
 
Ni kweli kwa soko la marekani. Maana wamerakani wao wanapenda sana engine kubwa. Na ford inaengine options zenye engine kubwa. Ila toyota imefocus zaidi katika reliability (uiamara)

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu Toyota kwenye reliability anacheza ligi yake!

Kuhusu injini kubwa huko America anatupia sana sema tu wamerekani naweza kusema ni wazalendo sana kwenye bidhaa zao!!

Mfano ukiangalia full size suv, utakuta tahoe imeiburuza mbali tu SEQUOIA Sokoni...

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Ila hutokaa kusikia usalama na viongozi wa juu wakitumia hizo gari bado tenda zitaenda kwa cardilack na chevrolet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…