Toyota imetajwa kuwa gari zinazoaminika zaidi nchini Marekani ikifuatiwa na BMW, Benz ni gari isiyoaminika kabisa

Sidhani kama hii taarifa niya kweli mkuuView attachment 2423716
Fanya kufatilia..!

Moja ya Sifa za Marekani ni size kubwa kwenye kila kitu..
Hata ukikosa kiatu size kubwa agizia America..huko hukosi..

Sasa gari zao engine zilikua V8 mwanzo mwisho.. Crisis ya mafuta ikaja.. Ndio Toyota ikapata penetration kwenye soko..

Sasa hivi vijana wanamaliza shule.. Wanadaiwa ada ndefu.. Hawezi kuwaza Hellcat.. Atawaza Camry..
 
Wewe mjerumani wa wa kwa bi nyau au!!?[emoji55] Yani unapika data kama za kweli vile! Kizuri na kizuri tu mjubaaa na chenye ubora ni bora[emoji12]
 
Wewe mjerumani wa wa kwa bi nyau au!!?[emoji55] Yani unapika data kama za kweli vile! Kizuri na kizuri tu mjubaaa na chenye ubora ni bora[emoji12]
Wajerumani tumetawanyika dunia nzima.. Tatizo wewe ufahamu wako unaishia hapo kwa bi nyau.. Siku ukiweza kutufahamu Wajerumani wa huku Qatar utaelewa tunachosema..!
 
Ford F150 na Tacoma sio gari za kulinganisha..
Moja ni full sized nyingine mid sized pick up..
Toyota Tundra ndio wapo segment moja..
Asante kwa marekebisho mkuu!

Lengo langu ilikuwa ni kuwaonesha hao wajapan wa manzese midizini kuwa pamoja na mbwembwe zao ila bado gari za kimarekani zinakimbiza Toyota kwa mauzo!!!
 
Wajerumani tumetawanyika dunia nzima.. Tatizo wewe ufahamu wako unaishia hapo kwa bi nyau.. Siku ukiweza kutufahamu Wajerumani wa huku Qatar utaelewa tunachosema..!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe sio mjerumani ni dalueshi
 
Asante kwa marekebisho mkuu!

Lengo langu ilikuwa ni kuwaonesha hao wajapan wa manzese midizini kuwa pamoja na mbwembwe zao ila bado gari za kimarekani zinakimbiza Toyota kwa mauzo!!!
Sure.. Pick ups kule zinatumika kupiga kazi kweli kweli..
Vitu kama payload na towing capacity ni muhimu..
Sasa Toyota yupo kwenye kubana mafuta economy zaidi.. Hana power ya kupambana na American Muscles..!
 
[emoji123]
 
Alafu kuna luxurious pick-ups... toyota wana toyota tundra inafanya vzr tu kwenye mauzo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesoma zako kwa kiswahili umeelewa unatuandikia english hujielewi
 
Other thing is, Japanese automakers focus more on simplicity. If you got less parts in the first place it means you have less parts to break which means your machine is goin to be reliable...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwezi uliopita pale Kimara nilikutana na RAM.

Yani Pickup ni kubwa almost sawa na Canter.

Gari yangu niliiona ni ki ist japo ni SUV ya kawaida tu.
 
miaka ya 90 mwanzoni mzee alikua akiniambia gari karibu zoooote ni spana mkononi, kasoro toyota. Akimaanisha gari karibu zote hata kama ni imara utahitaji kuzifix fix/repair au maintenance mara kwa mara lkn sio Toyota. Sasa nimemuelewa
 
Mwezi uliopita pale Kimara nilikutana na RAM.

Yani Pickup ni kubwa almost sawa na Canter.

Gari yangu niliiona ni ki ist japo ni SUV ya kawaida tu.
Ni wanafalsafa wa size kubwa kubwa..
Hata kwenye size ya vinywaji McDonald's America ni tofauti na nchi nyingine..!
 
Oyaa wale wajerumani weusi wa Berlin's Brandenburg ya katavi mko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…