Toyota imetajwa kuwa gari zinazoaminika zaidi nchini Marekani ikifuatiwa na BMW, Benz ni gari isiyoaminika kabisa

Hizi takwimu mbona kama za mchongo.
Ni takwimu za mchongo hata hivyo, hizi gari wanazosema haziaminiki ndo gari imara kuliko hizo wanazosema haziamininiki, sema bei ndo kisanga
 
Ni takwimu za mchongo hata hivyo, hizi gari wanazosema haziaminiki ndo gari imara kuliko hizo wanazosema haziamininiki, sema bei ndo kisanga
Jeep ni gari imara? Mercedes? Hujui magari basi...
Tesla nazo uimara wake ni kwasababu tu haina engine wala gearbox. Ila kwa vitu kama kuvujisha maji mvua ikinyesha, wiper kuharibika ovyo.. ni vitu vya kawaida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona wapi au unasimuliwa tu
Mm ninamiliki garage, natengeneza magari hasa haya ya kisasa. Na ninakwambia hamna gari zinazoharibika zaidi kama bmw, merc na audi. Tena zenye engine kubwa ndio znaongoza kua unreliable. Jeep na range yani ndo usiseme kabisa....
Yani ukiwa fundi mzur wa haya magari unatoboa, maana ni magari yanayohitaji kutengenezwa kila mara...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo Tesla zinazovuja unatengeneza pia!?
 
Hizo Tesla zinazovuja unatengeneza pia!?
Hapana. Ninaona, nafuatilia huko "duniani"
Nafuatilia ilikusudi yakifika na huku nakua najua common issues zake ili niweze kudeal nazo. Ndioivo nafanya kwa magari yote. Kila gari lina common issues zake ambazo ukilog in tu kwenye forums husika unazikuta... sio mpaka uone

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tuambie ubovu wa Mercedes benz c-200 3rd gen
 
Tatizo common la BMW X5 50D ni lipi?
 
Hivi unajua kuwa Tesla gari zake zote ni za umeme!?
 
Naona wajerumami wa hapa JF bado wamelala mkuu au wapo chimbo wanatafuta madesa... hahahahaha

Naona team Toyota mnapongezana, I hope mmeona jana daraja la Tanzanite prado nyeusi imefanya nini baada ya kumgusa Mjerumani kwa nyuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naona team Toyota mnapongezana, I hope mmeona jana daraja la Tanzanite prado nyeusi imefanya nini baada ya kumgusa Mjerumani kwa nyuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Gari ndio linatakiwa liwe ivo... hio inaitwa "crunch zone" gari linapondeka ila abiria wapone. Imetengenezwa ili likunjike ivo ili kupunguza impact pale ajali inapotokea... tena gari za ujerumani ndio zinakunjika zaidi ya za kijapan.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…