Sijui umeandika manini! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kapme wilirayament
check staring powerWakuu ni nini tatizo?
Wakati hydraulic iko full? Hakuna leakage
Ahsante
Mkuu hiyo ni changamoto ya power steering. Mwite fundi hapo kwako aifungue na kurekebisha ama kubadili mpya.Wakuu ni nini tatizo?
Wakati hydraulic iko full? Hakuna leakage
Ahsante
Wakuu ni nini tatizo?
Wakati hydraulic iko full? Hakuna leakage
Ahsante