Toyota ipsum usukani umekuwa mgumu

Toyota ipsum usukani umekuwa mgumu

Wakuu ni nini tatizo?
Wakati hydraulic iko full? Hakuna leakage
Ahsante
Mkuu hiyo ni changamoto ya power steering. Mwite fundi hapo kwako aifungue na kurekebisha ama kubadili mpya.
 
Kapme maatairi ya mbele na chek na fundi wa power stering
 
Back
Top Bottom