Toyota ipsum

MZEE MSASAMBEGU

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,780
Reaction score
2,555
Wakuu naombeni ushauri kwa mliowahi tumia hii gari..nahitaji gari ninayoweza kusafiri umbali mrefu ie.mbeya-mwanza nikiwa na family jumla watu kama saba hivi..so nilikuwa nataka niagize hii gari je
A.Kwa ambao mnaifahamu hii gari inaweza kuhimili safari za umbali mrefu
B.Vipi ulaji wake mafuta ni kilomita ngapi kwa Lita
C.Nikiagiza kutoka nje ie used car from japan ila iwe latest mpaka naingia nayo barabarani jumla niandae bajeti ya kama sh ngapi
Wakuu nitafurahi nikipata ufafanuzi kutoka kwa wazoefu wa hii gari nimeipenda sana muonekano wake
 
Achana na Ipsum, Subiri NOAH za Makinikia
 
Muulize yule Jamaa wa magari pale Pugu mall.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukua oldmodel yake ni nzuri sana hutajuta, engine ya 3s kama rav 4

Mwanza inaenda
Mbeya inaenda

11km kwa lita 1
 
Chukua oldmodel yake ni nzuri sana hutajuta, engine ya 3s kama rav 4

Mwanza inaenda
Mbeya inaenda

11km kwa lita 1
Thank u mkuu...vipi bei yake nikiagiza nje niandae sh ngapi
 
ushauri wangu;
A) inaweza kuhimili umbali mrefu na ipo comfortable sana na stable barabarani .
B)Ipsuma zipo old model na new model, but sitegemei kama utaenda nunua old model, nunua new model ni nzuri sana ila Banat mbaya inakula sana mafuta cc 2360 engine ni 2AZ. kwa urban trip waweza tembea Lita 1 km 8-9, but kwa safari za mbali waweza tembea Lita 1 km 10-12
C)Andaa budget si chini ya million 12, nna uhakika ukiwa na million 12 unapata bila tatizo lolote but bei hyo nliyokutajia yaweza kupungua kidogo au kuongezeka kutegemeana na condition ya gari, km's iliyotembea, mwaka iliyotengenezwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana mkuu kwa comment yako...imenipa mwanga mzuri wa kuanzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…