Toyota Ipsum

Toyota Ipsum

Bugucha

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2020
Posts
3,374
Reaction score
13,922
Wasalaam wakuu,moja kwa moja kwenye mada.

Mimi Napenda Sana hili gari Aina ya Toyota ipsum old model,yaani hii gari ipo moyoni sio siri.

Naomba kujua bei yake kutoka Japan mpaka Dar au kama nikitaka kununua kwa mtu,inachezea bei gani?Ila iwe nzima plate namba walau iwe DS.

big_with_watermark_56806607_408715166608291_7217979788340756480_n.jpg
 
Usinunue kwa mtu agiza Japan.

Iyo ulioiweka sio old model ni new model. Ilo gari lina model mbili tu.

Ya kwanza 1995 hadi 2000. Hizo average CIF $4000 na ushuru TRA Mil 6 max kwahiyo andaa jumla mil 12.
1996-1998_Toyota_Ipsum.jpg

Ya pili 2001 hadi 2010, hii CIF $6,000 ushuru TRA Mil 7-8 tegemea factors nyingi.

1280px-2001-2003_Toyota_Ipsum.jpg
 
Usinunue kwa mtu agiza Japan.

Iyo ulioiweka sio old model ni new model. Ilo gari lina model mbili tu.

Ya kwanza 1995 hadi 2000. Hizo average CIF $4000 na ushuru TRA Mil 6 max kwahiyo andaa jumla mil 12.
View attachment 2366452

Ya pili 2001 hadi 2010, hii CIF $6,000 ushuru TRA Mil 7-8 tegemea factors nyingi.

View attachment 2366460
Kwa hiyo ya mwaka 2010, ni Tsh.22,000,000/=
Kwanini nisinunue kwa mtu mkuu?
 
Wasalaam wakuu,moja kwa moja kwenye mada.
Mimi Napenda Sana hili gari Aina ya Toyota ipsum old model,yaani hii gari ipo moyoni sio siri.
Naomba kujua bei yake kutoka Japan mpaka Dar,au kama nikitaka kununua kwa mtu,inachezea bei gani?Ila iwe nzima plate namba walau iwe DS...
View attachment 2366434
PLATE NUMBER DS au sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo ya mwaka 2010, ni Tsh.22,000,000/=
Kwanini nisinunue kwa mtu mkuu?
Inaweza ikafika maana ushuru tu ni 13m+ lakini hakuna ulazima wa kununua ya 2010 maana model ni moja hivyo muonekano itabaki mmoja na yule wa 2001, maana ya 2001 ushuru ni kama 5.9m sasa unaweza ukaona ongezeka la ushuru Kwa gari yenye appearance moja,kama utachukua ya 2001 na ukapata Kwa bei nzuri utapata Kwa total ya 16m.
Gari inashea vitu vingi na gari zingine mfano engine ni 2az ambayo ipo pia kwenye vanguard,harrier,alphard,auris,estima nk
 
Back
Top Bottom