Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema uwezo wako wa pesa kwanza.
Nina milioni 6
Chukua tu IST maana 6 mil sidhani kama utapata Altezza
Toyota Passo inakuhusu!
At 6mil IST hupati ndugu, unless ununue kwa mtu hapa bongo.poa ngoja nijipange
Ukiwa na 9mil unawezaipata from Japan, ila 10m ndio uhakikkwa hiyo mpaka kutembea barabarani hiyo toyota ist ninatakiwa kuwa na shilingi ngapi?
Kumbe hujafanya window shopping kujuwa bei ya gari?kwa hiyo mpaka kutembea barabarani hiyo toyota ist ninatakiwa kuwa na shilingi ngapi?
wastani wa fuel cons ni litre moja kwa km ngapi?Ushauri hapo ni mgumu sana hizo ni gari za jamii mbili tofauti kabisa, Ist mwenzake ni duet, vitz, nissani march, corola, corona, carina etc na Altezza wenzake ni chasser, cresta, verrosa, rav 4, xtrail, tribute etc. IST zipo katika jamii ya low fuel consumption car.
Altezza inakula sana mafuta kama kipato chako ni kidogo hapo si mahali pake, ila IST inakula vizuri wengi wanamuda, baada ya kununua changamoto huwa ni mafuta kuwa makini kuna watu walikimbilia harrier cc 2500 wameishia kuyapaki tu na kuwaonea wivu wenye vigari vidogo.
Chukua rav4Sorry samahani kwa kuvamia uzi,na mm nina in between kati ya kununa Rav 4 kilotime na harrier,mwenye maujuzi tafafhari naomba ushauri