Toyota IST.....[emoji41][emoji41]

Toyota IST.....[emoji41][emoji41]

Boeing 747

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
3,515
Reaction score
9,415
Ni aina ya gari ndogo iliyotokea kupendwa sana kutoka kampuni ya Toyota kulingana uimara wake na fuel consumption nzuri....pia inaoneoneka ni gari iliyohongwa kwa kiwango cha juu. .wadada wanazipenda sana.

Naona sasa wamiliki wa gari hii wameingizwa kwenye kashfa..

Mheshimiwa kasema uchunguzi unafanyika kubaini kama wamiliki wa Toyota IST ni wamiliki halali au wamehongwa....

Wamiliki wa gari hili sijui wamelichukuliaje suala hili..?

Tanzania hii...[emoji41]
 

Attachments

  • IMG_20190601_120854_448.jpeg
    IMG_20190601_120854_448.jpeg
    36.1 KB · Views: 91
  • IMG_20190601_122038_669.jpeg
    IMG_20190601_122038_669.jpeg
    32.2 KB · Views: 76
Hahahahah sasa anamaindi nini au kaporwa hawara wake kwa chambo ya IST
 
Hahahahah sasa anamaindi nini au kaporwa hawara wake kwa chambo ya IST
Hahaha...inawezekana...maana wadada wanazipenda sana
.....mtu wa rangerover anaweza akakataliwa wa ist akachukua mzigo
 
Hahah shida ukiziita gari za ma shawty utachukiwa balaa.
Hapa nimeshachukiwa sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Kila nikikaa na mdada akipita Ist anasema....naipenda ile gari..
ndo maana zinehongwa sana
 
City cruizer, acha zipigwe dongo zinapngezeka kwa wingi na ni rahisi kuziudumia.
hii gari naikubali ila saresare ndo shida.
 
Me sipendi tu kale ka dash board kalivyowekwa katikati...
hata ukimpa mama mkwe lifti, anasoma gauge za mafuta, speed na rpm....

Anaona huyu fala nimempa binti yangu halafu mshale wa mafuta umelala kwenye E..[emoji21][emoji21][emoji21]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna baadhi ya gari ni dereva tu ndio anasoma kama vile Voltz
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna baadhi ya gari ni dereva tu ndio anasoma kama vile Voltz
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa kweli dash ya ist, x trail, vitz, raumu..zimenishinda tabia
 
Back
Top Bottom