ngota wa nzambe
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 121
- 136
Nimefika salama, lakini ligi za barabarani zimenishinda kabisaLakini umefika salama
Nimefika salama, lakini ligi za barabarani zimenishinda kabisa
Inaweza ligi za highway mkuu?Tafuta Toyota Levin hutajilaumu
Ulikuwa hujajipangaa kisaikolojiaa kabla ya safari mkuu?Nimefika salama, lakini ligi za barabarani zimenishinda kabisa
Inaweza ligi za highway mkuu?
Nilikuwa nakimbizana na mav8 mkuu..ligi ikanishindaKwaio ulikua unashindana na magari yenye cc 2000+??!!
Huyu mnyama huwa namsikia sikia..hebu nifunue akili kidogo.juu yake mkuuSawa Tafuta NISSAN GTR...
Nilijiandaa sana kaka, ila nashangaa ninavyoumiaUlikuwa hujajipangaa kisaikolojiaa kabla ya safari mkuu?
Kwanza kuipata ni taabu
Hahaha sawa mkuuNilikuwa nakimbizana na mav8 mkuu..ligi ikanishinda
Huyu mnyama huwa namsikia sikia..hebu nifunue akili kidogo.juu yake mkuu
Ligi ya nini kaka ?!. Kwanza mafuta umetumia nusu ya waoNimefika salama, lakini ligi za barabarani zimenishinda kabisa
Naunga Mkono HojaUlikuwa hujajipangaa kisaikolojiaa kabla ya safari mkuu?