Toyota IST imeniangusha sana

Toyota IST imeniangusha sana

Gharama za kununua Land cruiser wanaweza waTz wachache sana.
Msiangalie sana ku-save mafuta. Gharama mnazotumia kufanyia hayo magari maintenance inazidi kabisa gharama za mafuta mtu mwenye land cruiser. Manake at the end of the day, mtu mwenye land cruiser gari inadumu miaka na miaka, yako imeshaisha. Umemalizwa garage, yeye hajaumia maintenance. Gari yake inakanyaga popote kokote muda wowote, yako haiwezi. Msiangalie sana mafuta, angalieni reliability ya gari. Hapo ndio mnakosea
 
Back
Top Bottom