[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]umenena vyema...
Tatizo la huo upande wenu, mwenye tako anamdharau asiye na tako, asiye na tako anamchukia mwenye tako, aliyeolewa anamdharau mdangaji, mdangaji anamchukia aliyeolewa..
Ambao hawatoki na boss wanamchukia anayetoka na boss, anayetoka na boss anawadharau wasiotoka na boss..
Mweny iPhone anamdharau mwenye Tecno, mwenye tecno anamchukia mwenye iPhone..[emoji1][emoji1]
yaani ilimradi tu kuchukiana...
Ukikuta mwanaume mwenye chuki chuki za namna hiyo, lazima anamatatizo kwenye mfumo wake wa hormones..[emoji28][emoji28]