Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
[emoji23][emoji23][emoji23]..weka mbali na watotoHahah aisee hio mambo ilivyochomoka ghafla demu kapiga kulia lia tu huku subaru ya mwana imebaki inapiga chafya tu,hahahah.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]..weka mbali na watotoHahah aisee hio mambo ilivyochomoka ghafla demu kapiga kulia lia tu huku subaru ya mwana imebaki inapiga chafya tu,hahahah.
Hahah subiri sasa waje wale wataalam wa Germany Machine,utasikia tu mtu kajiropokea zake huko GT-R hakuna kitu hapo.,hahah.[emoji23][emoji23][emoji23]..weka mbali na watoto
Wewe utakuwa ccm mkuu, yaani una IST then unashindana na mav8[emoji848]Nilikuwa nakimbizana na mav8 mkuu..ligi ikanishinda
Gari ya kitoto kabisaNgoja nijipange nivute bmw x3 baasi
[emoji16][emoji16]zile dashboard zao zinazosoma 260kph huwa zinawazingua sanaHahah subiri sasa waje wale wataalam wa Germany Machine,utasikia tu mtu kajiropokea zake huko GT-R hakuna kitu hapo.,hahah.
Mamamae maisha haya.
Hahaha macho madogo si wa kuwachezea wakiamua,hata hizo limit za HP 280 kwny magari yao waliiweka kutokana na kitu kinaitwa Gentlemen agreement baada ya miaka hio ya 80's-90's kua wanashindana kutoa magari yenye mambio huku speed limit kwny barabara zao zikiwa ni 100km/h wakaona ni hatari sana yaani kulikua hakuna cha mjerumani,mmarekani wala nani kwa kuwachezea kwny mambo hayo.Du hiyo chuma hapo ilivyochomoka hakuna cha V8,Range,Tourage wala Takataka gani kumbe samutaimu macho madogo wako siriazi na maisha baba ake..
Hahah yaani kuna wengine hapa wanaamini kabisa kile ki golf gti chenye dashboard yenye 300km/h kinaweza kumaliza kile kisahani,hahah.[emoji16][emoji16]zile dashboard zao zinazosoma 260kph huwa zinawazingua sana
Kuna mchina mmoja mkenya anayo Nissa GTR inawahi mno kuchanganya yani unaeza sema inatumia jet fuel lakini pale Arusha ilichemsha mbele ya EVO 6 ya jamaa mmoja wa arusha pale.Mbona kama iko chini sana, kwa barabara zetu zenye mashimo na matuta itatoboa kweli?
ile EVO 6 iko moded stage 3 moto wake sio wa mchezo,hio GT-R ikiwa stock(480hp-545hp) inaachiwa manyoya tu.Kuna mchina mmoja mkenya anayo Nissa GTR inawahi mno kuchanganya yani unaeza sema inatumia jet fuel lakini pale Arusha ilichemsha mbele ya EVO 6 ya jamaa mmoja wa arusha pale.
Hahaha ile Evo ni heshima Alafu kwa kenya nzima iyo GTR inachezewa vizuri tuu na subaru moja STI nyeusi ya jamaa fulani ni nyoko.ile EVO 6 iko moded stage 3 moto wake sio wa mchezo,hio GT-R ikiwa stock(480hp-545hp) inaachiwa manyoya tu.
Kuna EVO 6 niliiona kwa madiba ina HP 1100 nadhani moto wake hapo unauelewa mzee baba.
Hahah jombaa Kenya wana magari yako modded balaa,ingawa hata bongo sasa tunakuja vzr.Hahaha ile Evo ni heshima Alafu kwa kenya nzima iyo GTR inachezewa vizuri tuu na subaru moja STI nyeusi ya jamaa fulani ni nyoko.
Wewe ulikuwa na IST ya 1NZ yenye cc1290.....ungepata ist ya 2NZ yenye cc1480 uone mziki wake.Wiki iliyopita niliamsha IST yangu kwenda Kahama, safari ilikuwa tamu, japo nimeumia sana kuona napitwa njiani kama vile nimesimama, japokuwa nilikuwa nakanyaga mafuta mpaka mwisho!
Nimeumia sana! Siitumii tena nimeapa
Sasa izo gari za kenya zikija arusha kwenye race zinapigwa mbaya na za tzHahah jombaa Kenya wana magari yako modded balaa,ingawa hata bongo sasa tunakuja vzr.
Hivi hapa E/Africa ukiachana na Kenya kuna nchi nyingine yenye Dyno machine mkuu?
Huku wanakutana na wakina Jason wanawaburuza vzr tu.Sasa izo gari za kenya zikija arusha kwenye race zinapigwa mbaya na za tz