Toyota IST imeniangusha sana

Toyota IST imeniangusha sana

Hahah subiri sasa waje wale wataalam wa Germany Machine,utasikia tu mtu kajiropokea zake huko GT-R hakuna kitu hapo.,hahah.
[emoji16][emoji16]zile dashboard zao zinazosoma 260kph huwa zinawazingua sana
 
Du hiyo chuma hapo ilivyochomoka hakuna cha V8,Range,Tourage wala Takataka gani kumbe samutaimu macho madogo wako siriazi na maisha baba ake..
Hahaha macho madogo si wa kuwachezea wakiamua,hata hizo limit za HP 280 kwny magari yao waliiweka kutokana na kitu kinaitwa Gentlemen agreement baada ya miaka hio ya 80's-90's kua wanashindana kutoa magari yenye mambio huku speed limit kwny barabara zao zikiwa ni 100km/h wakaona ni hatari sana yaani kulikua hakuna cha mjerumani,mmarekani wala nani kwa kuwachezea kwny mambo hayo.
 
[emoji16][emoji16]zile dashboard zao zinazosoma 260kph huwa zinawazingua sana
Hahah yaani kuna wengine hapa wanaamini kabisa kile ki golf gti chenye dashboard yenye 300km/h kinaweza kumaliza kile kisahani,hahah.
 
Mbona kama iko chini sana, kwa barabara zetu zenye mashimo na matuta itatoboa kweli?
Kuna mchina mmoja mkenya anayo Nissa GTR inawahi mno kuchanganya yani unaeza sema inatumia jet fuel lakini pale Arusha ilichemsha mbele ya EVO 6 ya jamaa mmoja wa arusha pale.
 
Hii
FB_IMG_1607604338796.jpeg
 
Kuna mchina mmoja mkenya anayo Nissa GTR inawahi mno kuchanganya yani unaeza sema inatumia jet fuel lakini pale Arusha ilichemsha mbele ya EVO 6 ya jamaa mmoja wa arusha pale.
ile EVO 6 iko moded stage 3 moto wake sio wa mchezo,hio GT-R ikiwa stock(480hp-545hp) inaachiwa manyoya tu.

Kuna EVO 6 niliiona kwa madiba ina HP 1100 nadhani moto wake hapo unauelewa mzee baba.
 
ile EVO 6 iko moded stage 3 moto wake sio wa mchezo,hio GT-R ikiwa stock(480hp-545hp) inaachiwa manyoya tu.

Kuna EVO 6 niliiona kwa madiba ina HP 1100 nadhani moto wake hapo unauelewa mzee baba.
Hahaha ile Evo ni heshima Alafu kwa kenya nzima iyo GTR inachezewa vizuri tuu na subaru moja STI nyeusi ya jamaa fulani ni nyoko.
 
Hahaha ile Evo ni heshima Alafu kwa kenya nzima iyo GTR inachezewa vizuri tuu na subaru moja STI nyeusi ya jamaa fulani ni nyoko.
Hahah jombaa Kenya wana magari yako modded balaa,ingawa hata bongo sasa tunakuja vzr.

Hivi hapa E/Africa ukiachana na Kenya kuna nchi nyingine yenye Dyno machine mkuu?
 
Wiki iliyopita niliamsha IST yangu kwenda Kahama, safari ilikuwa tamu, japo nimeumia sana kuona napitwa njiani kama vile nimesimama, japokuwa nilikuwa nakanyaga mafuta mpaka mwisho!

Nimeumia sana! Siitumii tena nimeapa
Wewe ulikuwa na IST ya 1NZ yenye cc1290.....ungepata ist ya 2NZ yenye cc1480 uone mziki wake.
 
Hahah jombaa Kenya wana magari yako modded balaa,ingawa hata bongo sasa tunakuja vzr.

Hivi hapa E/Africa ukiachana na Kenya kuna nchi nyingine yenye Dyno machine mkuu?
Sasa izo gari za kenya zikija arusha kwenye race zinapigwa mbaya na za tz
 
Iyo STI imprezza iliichapa GTR vibaya sana nayo ikaja chapwa na EVO 6 [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom