Car4Sale Toyota IST inauzwa

Car4Sale Toyota IST inauzwa

Inatembea moja kwa moja kama wewe hujaamua kupumzika.. ila automatically safari ya Dar to mwanza lazima utapumzika. Ist haichemshi.. nshawahi endesha IST dar to bukoba nlilala ushirombo.
Kumbe IST inapuyanga mwendo kiasi iko! Ni kagari ka maana sana!
Vip fuel consumption yake mkuu?
 
Mbona mmeanza kuuuza magar au ndo njaa inakuja kwa kas,
Inabid na mm nikauze ng'ombe wangu aiseee

Mwenye shida na ng'ombe usisite kunitafuta niko napatikana salasala!
 
Hivi IST inaweza kwenda Mtwara to Mwanza bila kupumzika njiani?
Angalia ukubwa wa injili, ni kipimo cha uwezo wa gari. Ist ni gari yenye injili ndogo sana na usipoipumzisha utaiua
 
Back
Top Bottom