Bongoflava
Member
- Dec 22, 2017
- 75
- 38
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh,
Vyuma mzeenaiona tokea January kwa madali tofauti tofauti nilijua ishachukuliwa kumbe bado ipo?
Nakucheki tufanye biashara 🙂
View attachment 693629
Be free Man, Ongea unachotaka kuongea.Duh,
Mkuu hii bei uko serious?
Hay bana, nisije nikaharibu
Ok,Be free Man, Ongea unachotaka kuongea.
Mbona ukiwa na 8 unapata gari mzee. Unaagaiza lakini sio ISTOk,
Nimeangalia muda iliyoingia nchini (DEJ),
Nikaangalia kwenye matairi (Wheel Cap v/s Sport Rim)
Nadiriki kusema kua haikupaswa kuuzwa hiyo bei,
Wajua Tshs 9mil ukiongeza hata 1mil unaagiza Gari kutoka Japan na kodi unalipia hapo
Nimemaanisha IST, ngoja ni-editMbona ukiwa na 8 unapata gari mzee. Unaagaiza lakini sio IST
Umemwaga mchele kwenye kuku wengi mkuu daaa si ungemtafuta pmView attachment 693651 View attachment 693654
CIF= $2400 x Tshs 2,260 = Tshs 5,424,000/= (Without Bargain)
Total TRA Taxes = Tshs 4,461,400/=
Other Port Charges = Tshs 600,000= (Estimates)
Clearing Agency Tshs 400,000/=
TOTAL 10.89Mil
Ye mwenyewe ameniruhusu Mkuu.Umemwaga mchele kwenye kuku wengi mkuu daaa si ungemtafuta pm
Be free Man, Ongea unachotaka kuongea.
DEG....... next time kua makini unapokosoa biashara za watuOk,
Nimeangalia muda iliyoingia nchini (DEJ),
Nikaangalia kwenye matairi (Wheel Cap v/s Sport Rim)
Nadiriki kusema kua haikupaswa kuuzwa hiyo bei,
Wajua Tshs 9mil ukiongeza hata 1mil unaagiza IST kutoka Japan na kodi unalipia hapo
Swali nje ya mada...View attachment 693651 View attachment 693654
CIF= $2400 x Tshs 2,260 = Tshs 5,424,000/= (Without Bargain)
Total TRA Taxes = Tshs 4,461,400/=
Other Port Charges = Tshs 600,000= (Estimates)
Clearing Agency Tshs 400,000/=
TOTAL 10.89Mil